Picha ya leo

sio kila kitu JK, tembe zilikuwepo since mkoloni


... Hapo sio JK, Sio umaskini!
Bali ni kujiendekeza tu [elimu / uelewa duni].
Naishi Dom,believe me,mwenye hiyo tembe ukiambiwa ana ng'ombe 50 hadi 100 usibishe.
Kuna mzee kijijini kwetu alikuwa na mbuzi 300 lakini bado alilala kwenye ngozi na nyumba kama hiyo,hadi pale uongozi wa kijiji ulipompiga mkwara wa kumpeleka selo,akaogopa. Hivi sasa ana mbonge wa bangaluu na umeme ndani,na bado ana mimbuzi yake !

Look at Wamasai na vijumba !!! vyao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom