Picha ya leo - Mbowe mapumziko mafupi yamemrutubisha

Sijajua...Nafahamu mawani meusi kama hayo hutumika wakati mwingine kwenye welding na wengine huvaa kuficha soni zao na wengine hutumia kuficha mapungufu flan.....ila naona siku hizi ni kama style....pengine anaenda na wakati.

kwani hata yule makamu wetu huvaaa.
Sasa nadhani umenielewa vizuri hata umenisaidia kutaja kazi nyingine za miwani. Kwa hiyo atakuwa amevaa kwa sababu mojawapo ya hizo tulizozitaja au anazo zake mwenyewe. Si lazima iwe kwa ajiri ya jua.
 
Back
Top Bottom