Lawkeys
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 1,118
- 287
Picha hisani ya Michuzi blog
Licha ya mabomu na vitisho vya serikali, waandamaji Zanzibar wangali ngangari kudai maoni yao kuhusu serikali ya Muungano. Haki ya wananchi si kitu cha kuporwa kirahisi siku hizi. Bora tu kusikiliza madi yao na kuyafanyia kazi, lakini nguvu si lo lote na si chochote kwani ni kuchochea zaidi vurugu. Madai yao hayajasikilizwa muda mrefu na kudharaulika kila walipotaka kutoa maoni yao, matokeo leo ndiyo haya.
Sijui kitoto cha uamsho watakiita Boko nini? Kile cha nigeria ni boko haramu, hiki ...bokopoko