Picha - Uamsho Zanzibar ngangari hadi kieleweke

we kweli bichwa nazi, unafikiri wazenj ni cowards kama wewe? Soma historia ya Zanzibar ndo utajua Wazanzibari ni nani.

shughuli ya Mkapa mmeshaisahau?mlikimbia na vichupi hadi mombasa..safari hii tutavizamisha ivyo visosi tuone jeuri yenu.
 
Tulipopuuzia kuujadili muungano enzi ya Mkapa kwa vitisho hapo ndipo tulipochagua kuuvunja muungano wetu, now it's too late to revoke.

Noti.
 
At4NPC6CIAEToKH.jpg+large.jpg


HIZ.jpg

Picha hisani ya Michuzi blog

Licha ya mabomu na vitisho vya serikali, waandamaji Zanzibar wangali ngangari kudai maoni yao kuhusu serikali ya Muungano. Haki ya wananchi si kitu cha kuporwa kirahisi siku hizi. Bora tu kusikiliza madi yao na kuyafanyia kazi, lakini nguvu si lo lote na si chochote kwani ni kuchochea zaidi vurugu. Madai yao hayajasikilizwa muda mrefu na kudharaulika kila walipotaka kutoa maoni yao, matokeo leo ndiyo haya.

ni kweli lakini hao watu utanisamehe mleta hoja pengine ni mmoja wao lakini nikionacho mimi ni serikali inafanya mchezo wa hatari kuwaacha hawa wazidi kuota mizizi na kukomaa ; maana yangu ni nini itikadi yao ikienea vizuri miongoni mwa wazarendo pamoja na kuwa sasa'ivi baadhi yao wanaonekana kuishabikia lakini muda si mrefu wataijutia kwani hao siwatofautishi hata kidogo na vikundi kama fis(algeria),alshabab,boko haram, muslim brother hood, malengo yao si rahihi kutekerezaka kwa mwananchi wa kawaida na msishangae siku si nyingi matawasikia bara
wadhibitiwe kwa gharama yoyote ...ni ushari wangu !
 
Wanzazibari wapewe wanachokitaka, mnawang'ang'ania wa nini?
Znz ni koloni letu...tunawang'ang'ania ili tuwafunze ustaharabu,upendo na heshima,vitu ambavyo hawana ndio maana wanachoma makanisa...

Hawa watu wakiachwa wenyewe itakuwa makazi ya magaidi,ambao ndio wako nyuma ya hizi harakati...kuepuka hii hatari wacha tuendelee kuwatawala.
 
BABA WA TAIFA JULIUS KAMBARAGE NYERERE, Upo wapi Mwalimu wa nchi hii,Baba yetu ungekuwepo leo hii NENO LAKO MOJA TU LINGEBADILISHA NCHI HII.
Haya uliyasema na kuyatabiri mda mrefu sana. NAKUMBUKA WAKATI WA UCHAGUZI 1995 ULIONGEA MAMBO MENGI KUHUSU MUUNGANO. Leo hii yanatokea hakuna anayeweza kukumbuka uliyosema. NARUDIA....SEMA NENO MOJA TU HUKO ULIKO LIBADILISHE NCHI YETU.
Acha uzembe wewe! unataka wafu wafanye kwaniaba ya walio hai? Nyerere angetegemea wafu kama wewe tz ingekuwepo kweli? Nyerere alitimiza wajibu wake kipindi cha uhai wake na wewe timiza wajibu wako kabla hujafa, ukifa hutaweza kutimiza lolote hata ukiitwa na watakao kuwa hai!
 
BABA WA TAIFA JULIUS KAMBARAGE NYERERE, Upo wapi Mwalimu wa nchi hii,Baba yetu ungekuwepo leo hii NENO LAKO MOJA TU LINGEBADILISHA NCHI HII.
Haya uliyasema na kuyatabiri mda mrefu sana. NAKUMBUKA WAKATI WA UCHAGUZI 1995 ULIONGEA MAMBO MENGI KUHUSU MUUNGANO. Leo hii yanatokea hakuna anayeweza kukumbuka uliyosema. NARUDIA....SEMA NENO MOJA TU HUKO ULIKO LIBADILISHE NCHI YETU.

kama ulikua unamwamini sana si umfuate huko alipo, watu kama nyie ndio mnaopiga ramli na athari zake ndio kama hizi za watu kupigwa na amani kuvunjika.
Tokea lini mtu mfu akawa tegemeo la yule aliye hai, ukiona hivyo ujue huyo aliye hai kimantiki ndie mfi zaidi.
 
Mi nadhani hawa jamaa 2jitenge nao 2 ilo ndilo suluiso na waje kuchukuwa ndugu zao kariakoo wa2achie nyumba zetu
 
Binafsi sijui kwanini hawa watu anaachwa waendelee kutupa tabu. ukiskiliza kwa makini ni like wamechoka kuugana, sasa kama ndoa ikiwaboa wawili nyie na ikafikia mmoja akawaanadai talaka kwa mtutu ni bora nn? Nafkir ni bora apewe haki yao sisi tuendelee na bara yetu.kwao kuua ni jihad
kama chadema tu
 
utawala wa mabavu unaofanywa na wabara zidi ya zanzibar, ni ukoloni wa masikitiko sana, waachieni wananchi wa zanzibar
warudishe uhuru wao.
 
At4NPC6CIAEToKH.jpg+large.jpg


HIZ.jpg

Picha hisani ya Michuzi blog

Licha ya mabomu na vitisho vya serikali, waandamaji Zanzibar wangali ngangari kudai maoni yao kuhusu serikali ya Muungano. Haki ya wananchi si kitu cha kuporwa kirahisi siku hizi. Bora tu kusikiliza madi yao na kuyafanyia kazi, lakini nguvu si lo lote na si chochote kwani ni kuchochea zaidi vurugu. Madai yao hayajasikilizwa muda mrefu na kudharaulika kila walipotaka kutoa maoni yao, matokeo leo ndiyo haya.

Waliowengi wasikilizwe kama wanzanzibari hawataki muungano viongozi wa zanzibar, waruhusu watu wajiamulie.
 
Inaonyesha 90% ya wananchi wa zanzibar wanataka uhuru wao. Kama ni hivyo watawala ni Watanganyika, kwa kupitia viongozi wenyewe wa Zanzibar, tatizo hili halitamalizika kwa kutumia maguvu ya polisi kwani vijana wa visiwani ndio walio mstari wa mbele wa kudai uhuru wao. Ukandamizaji wa polisi unafanya watu wawe wajasiri zaidi mpaka hapo lengo lao litakapo tatuliwa ambapo Zanzibar itarudisha kiti chake huko umoja wa mataifa.
 
Viongozi wa Zenj wanahusika hasa wa Serikali ya Karume na shemeji zake wa Cuf
 
Mie naona tuwaache tu hawa jamaa,
Hivi kwanza wana faida gani kwetu? au huo urojo ndio wanaona tunawadoea?
Tuwaache lakini kabla ya kuwaacha jeshi lipelekwe litembeze mkongoto wa nguvu , vunja miguu wote halafu tuwaachie nchi ya viwete
 
hebu ona sura ya huyo ng'ombe hapo juu na mmidevu kama mbuzi, kila kitu kimejiandika usoni kwake. MBUMBUMBU! NO ELIMU MUUZA KAHAWA TU HUYU
 
Mie naona tuwaache tu hawa jamaa,
Hivi kwanza wana faida gani kwetu? au huo urojo ndio wanaona tunawadoea?
Tuwaache lakini kabla ya kuwaacha jeshi lipelekwe litembeze mkongoto wa nguvu , vunja miguu wote halafu tuwaachie nchi ya viwete


Ndio maana tunataka uhuru wetu haraka iwezekanavyo. Muungano hatuutaki,muungano huu wa kulazimishwa sio muungano.
 
At4NPC6CIAEToKH.jpg+large.jpg


HIZ.jpg

Picha hisani ya Michuzi blog

Licha ya mabomu na vitisho vya serikali, waandamaji Zanzibar wangali ngangari kudai maoni yao kuhusu serikali ya Muungano. Haki ya wananchi si kitu cha kuporwa kirahisi siku hizi. Bora tu kusikiliza madi yao na kuyafanyia kazi, lakini nguvu si lo lote na si chochote kwani ni kuchochea zaidi vurugu. Madai yao hayajasikilizwa muda mrefu na kudharaulika kila walipotaka kutoa maoni yao, matokeo leo ndiyo haya.

Tafadhali soma hii ni muhimu sana

Hizo picha ni propaganda za wakristo wa magazeti ya Tanzania daima na nipashe dhidi ya waislamu.

Jioni hii wakati narejea nyumbani nilikuwa nasikiliza redio Imani. Ikaelezwa kuwa kwenye baadhi ya magazeti yanayomilikiwa na wagalitia (Tanzania daima na Nipashe) yametoa picha za waislamu waliondamana mkoa wa morogoro miezi sita ilizopita na zikatoa maelezo kuwa ni matukio yaliofanyika Zanzibar jana, maandamano ya morogoro yalikuwa ya waislam waliokuwa yakishinikiza wanafunzi wa kiislamu wapate fursa ya kufanya ibada kwenye maeneo ya shule (boardin school).

Nilipopita kwenye magazeti nikanunua magazeti ya Tanzania Daima na Nipashe.

Tanzania Daima wameweka picha tatu, ya kwanza bwana mmoja anakitambaa kimeroa damu anakionyesha juu.

Huyu bwana ameithibitishia redio Imani, kuwa picha hii ni ya kwake, ilipigwa morogoro na hajawahi kwenda Zanzibar.

Na tukio hilo lilitokea Morogoro, pia kuna picha ya FFU ambayo nayo inathibitika kuwa ilipigwa Morogoro, lakini picha ya tatu inaonesha dhahiri ni moja ya maandamano yaliofanyika nchi za kiarabu.

Na Nipashe imetoa picha ya huyo bwana alieinua kitambaa chenye damu.

Sasa huyu bwana amehojiwa na redio imani na ameeleza kwa ukamilifu picha hiyo ilivyochukuliwa wakati wakiandamana huko Morogoro, na mtangazaji aliekuwa akimuhoji amethibitisha kuwa ana video ya tukio hilo.

Swali..... Kwa nini magazeti haya yametoa picha zilizotokea sehemu nyengine na kuonyesha ni matukio ya Zanzibar?

Jawabu ni rahisi, ni propaganda na Kampeni dhidi ya uislamu,

Kwa ufupi ni kuwapaka matope waislamu katika hizi chuki zao dhidi ya Uislamu tu
 
Mbona nasikia mnaendelea kuchoma makanisa, mnajua nyie ni wapumbavu sana , hivi mnadhani kama tukiamua kufanya kama nyie mtatuweza mbwa nyie?
 
Sura za magaidi hutakosa hata iwe vipi. Poleni wapendao amani. Ila ukweli ni kwamba tayari zanzibar ina magaidi hata wa kike wamo wengi sana.
 
At4NPC6CIAEToKH.jpg+large.jpg


HIZ.jpg

Picha hisani ya Michuzi blog

Angalia hizi sura kama si magaidi yaliyojificha ndani ya uislamu. Sitaki kuamini kuwa uislamu ni dini inayolea ugaidi duniani. Kama ni suala la muungano; ukristo umeingiaje ktk hilo? Hata kama Zanzibar kuna waislamu wengi bado kuna Wazanzibar Wakristo ambao nao walikuwepo wakati wa mapinduzi ya Zanzibar. Kwa hiyo waungwana wanaojiita waislamu-uamsho; hawa waliowakristo na wazanzibar wakafanye ibada zao za kikristo misikitini?

Kweli imani bila elimu dunia ni kazi bure sana. Tatizo wenzetu waislamu wanaupungufu mkubwa wa elimu unaowafanya wawe na uwezo mdogo wa uelewa. Kama waislamu hawawezi kujikomboa kielimu hata wangedai Zanzibar ya kiislamu haitasaidia kitu kabisa.

Tupeleke watoto wetu shule hata kama walimu wao watakuwa makafiri basi haina shida ilimrdi wanaelimika na kujikomboa kifikra. Mbona wasomi wengi wa kiislamu hatuoni wanafanya upuuzi kama huu? Tutalalamika sana; hata mseme mara ngapi kuwa baraza la mitihani inawapendelea waislamu; hamtaweza kurekebisha hali hii. Bali tuzingatie elimu kwa vizazi vyetu. Suala la imani hilo kwa vyovyote litachukua nafasi yake. Tupke watoto shule na tuwakazanie; wasome au wapate elimu bora.


Tuangalie mfano wa shule za kiislamu zinavyofanya vibaya, utadhani watoto wa kiislamu hawana akili kumbe sivyo. Jibu ni kuwa misingi yao ya elimu ni mibovu sana. Jaribu kuangalia jinsi wtoto wengi wa kiislamu wanapokuwa kwenye baadhi za shule na vyuo vikuu wanavyofanya vizuri.

Halafu tunalaumu wakristu kumbe tujilaumu wenyewe.
 
Back
Top Bottom