PICHA; Taswira mahakama kuu leo!!

Nilijua hii ndiyo itakuwa argument kubwa sana ya CCM. I am not in favour of bi-lelection zinazimaliza hela ya walipa kodi, ila kama kuna slum dunk evidence kuwa mtu kaiba kura na video zipo basi ni dhahiri kuwa tunahitaji si tu kutoa haki bali kuonekana kuwa haki imetendeka.

Hata siku moja wapinzani hawawezi kuvuruga uchaguzi na tunakoelekea ni kwamba wasimamizi wa uchaguzi wa CCM watakuwa wanapindisha sheria makusudi maeneo wanayodhani kuwa wapinzani watashinda kwa nguvu y umma ili ushindi ukatenguliw mahakamani.

Tunahitaji kuwa na sheria zinazoka mtu asipewe certificate of being elelcted mpaka kesi imalizike mahakamani. Maana yake ni kuwa Immediately baada ya kura kuhesabiwa mtu kuonekana ameshinda ama kwa kutangazwa hatakiwi kupewa cheti cha ushindi certified electio results within 10 working days. Hii itampatia mgomea anayeona ameonewa kwenda mahakamani kupinga na mahakama inaweza kutoa order ya recount of votes ila kila kitu kiwe kimeisha withing two months after elections. Ili wabunge wakianza kazi inakuwa ni kazi za wananchi tu bila kuwa na kesi yoyote ya uchaguzi, ila hili linawezekana kama tutakuwa na serikali za majimbo basi.

Hii itaepusha matumizi ya pesa katika kurudia chaguzi. Nina hakika kabisa kuwa kama mahakama inatoa maamuzi 10 days after elections maana yake haki itatendeka ila 1 year or two years maana yake ni upuuzi na watsage of time and resources. Kesi zisiwe za ku-nullify uchaguzi bali ziwe za kunullify mshindi na kumtangaza mshindi halali.
This is real a great argument. After all hawa watu hawaapishwi immeidiately baada ya kumalizika kwa uchaguzi, haraka ya nini kuwapa certificates? Mimi nafikiri hilo ndiyo bora zaidi. Mkuu tukuombe ujitokeza kutoa mapendekezo haya katika marekebisho ya katiba mpya.
 
Back
Top Bottom