Kwa ongezeko hili la Majaji ni muhimu sasa kila mkoa kuwepo na Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,177
7,750
Leo hii tarehe 14/9 mhe. Rais Dkt Samia kawaapisha majaji wapatao 19.
Ndani ya miaka miwili Rais ametendelea kuteua majaji wengi wa mahakama kuu na Rufaa.

Tunaomba sasa mahakama kuu zijengwe kila mkoa ili kuwarqhisishia wananchi.

Kwa sasa tunaomba Majaji hao waletwe kwenye mikoa ya pembezoni ambayo inauhitaji mkubwa, wasilundikwe mijini tu.
 
Back
Top Bottom