Jana January 10,Mh rais Kikwete alizindua mradi wa nyumba bora za wanajeshi zipatazo elfu 10,kwa kuanzia na nyumba mia sita huko gongolamboto Dar.
MMMmmmh !! Jeshi litawalinda, kwani walimu wanalindaga?Ila kuwajengea walimu inakua ngumu.
MMMmmmh !! Jeshi litawalinda, kwani walimu wanalindaga?
Sasa bila mazingira bora ya kazi kwa waalimu, unataraji mazao ubora ya kielimu kweli?
Jana January 10,Mh rais Kikwete alizindua mradi wa nyumba bora za wanajeshi zipatazo elfu 10,kwa kuanzia na nyumba mia sita huko gongolamboto Dar.
Kwahiyo akianza na askari akaenda kwa walimu kwako ni kosa?Ila kuwajengea walimu inakua ngumu.
Kwani kitengo cha ukarabati kipo kwake?Akazikarabati na zile za Mwenge halafu arudishe hela za escrow
Ila kuwajengea walimu inakua ngumu.
Weka na ile link ya kuigeuza Kigoma Dubai,ili umalize kilimi limi cha "anti-mwenzetu"....Unaishi Tanzania? Hebu jisomee: Halmashauri 120 kunufaika ujenzi nyumba za walimu | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today