Picha: Rais Kikwete akipongezwa na Dorcas Membe baada ya kuhutubia UN; Entourage to UN ilikuwa kubwa

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
DSC_0645.JPG
Mhe. Membe akimpongeza Mhe. Rais Kikwete mara baada ya kumaliza kulihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

DSC_0653.JPG


Mama Dorcas Membe naye akifurahia mara baada ya kumpongeza Mhe. Rais Kikwete.
 
Hiv kumbe waziri, naye huwa anasafiri, na mke wake?, nngu, mbona hujaweka hiyon picha ya mh Rais akipogezwa na mama membe
 
Mbona habari za kukumbatiwa jamaa mnazileta sana kuna nn?

Alivyokumbatiwa na Obama mkazileta leo tena!?
 
Kweli nimeamin joka la mdimu ni mnafiki na jk amemfahamu,angalia hyo picha ya jk na membe,membe anajitahd sna kumpa rais mkono kama vile jk hna habar naye
 
Magamba bhana...content ya alichoongea hawaweki coz wanajua ni pumba tupu, sisi picha inatusaidia ni nn
 
Back
Top Bottom