PICHA: Rais Jakaya Kikwete alipoongoza kikao maalum cha Baraza la Mawaziri

Jamani hakuna kitu kama "kikao maalumcha baraza la mawaziri" chenye kuhusisha watu wasio mawaziri. Hiki kilikuwa kikao cha rais, mawaziri, manaibu na makatibu wakuu. Sio kikao cha baraza la mawaziri kwa kipimo chochote kile.

Kiwanda at Work.
 
Hivi ni kwa nini Hao mwawaziri hapo kwenye viti vya mbele wamekimbia kuna tatizo gani? Ona Wengine wamekimbilia back bencher kama form two B.
 

Attachments

  • bng.jpg
    bng.jpg
    36.1 KB · Views: 33
Hivi ni kwa nini Hao mwawaziri hapo kwenye viti vya mbele wamekimbia kuna tatizo gani? Ona Wengine wamekimbilia back bencher kama form two B.

Hii tabia hata darasani mwalimu akija na bakora lazima mkimbilie siti za nyuma...
 
Duh kweli jf kiboko kila mahali ipo kila kona inakaba safi sana wadau mnisamehe kwa hili dukuduku langu hivi mbona hicho kiti cha mh.Rais ni kama kile alichokuwa anatembea nacho wakati wa ziara wizarani hii imekaaje wadau mniwie radhi

Ina maana anatembea na kiti?
 
Ina maana anatembea na kiti?

Kwa hali navyoiona nadhani watakuwa wanatembea nacho angalia baadhi ya picha katika ziara zake wizarani kipindi cha nyuma ndo utajua halafu hiyo ni conference hall ni wazi kuwa viti lazima vifanane angalia alichokalia PM na CS vinafanana tofauti iko kwa mh.Rais
 
Katibu mkuu kiongozi ni mtu mkubwa sana wewe, ndie mtendaji mkuu pale magogoni, hata uteuzi wa mazari anahusika mwa sehemu kubbwa sana

Siajua sana,hivi Katibu Mkuu kiongozi ni cheo kikubwa kuliko waziri, nasema hivo kwa sababu namuona high table wakati mawaziri wapo low table.Ama ni mambo tu ya protokali, nisaideni maana mwenzio katiba sijaisoma nasubiri kusoma katiba mpya maana nikisoma ya zamani na wakati ya sasa ipo mbioni ntajichanganya bure
 
Jamani Maghembe alikuwa Kilimo baraza lililopita kwa sasa yeye mtoa mada rekebisha apo!
Huwa nawaza sijui huwa wanajadili nini apo maana kila leo tunasikia utumbo toka kwa watendaji wao!
 
nngu007 Hivi hiki kiti anachokalia jk nikweli kinahamishwa eeeh ni usalama kweli au ndo mambo yabagamoyo??
 
Last edited by a moderator:
eti na hii post kwenye jukwaa la siasa.. kweli JF mnaiharibu bora ukanyamaza bila kupost kitu we soma kisha chapa lapa

In case you did not attend POLITICS 101, its only about who get what, when and how .Now tell me whats so special about politics that makes you think it should involve clever dialogues!
 
Hiyo ya kiti maybe ana matatizo ya mgongo maana watu kama hao mara nyingi wana viti vyao special kuwasaidia.However it can be anything given alikuwa mtu wa Sheick Yahya.

Kuhusu hilo la kumkoromea waziri wa fedha,sijui ni kitu gani,ila ni waziri huyo wa fedha aliyetakiwa kuwiwakilisha taarifa ya kuhusu fedha za uswisi,sasa sijui kama aliitoa taarifa siku ya kikao hicho ama ni vipi,maana listi ya walioweka hizo pesa uswisi hata mkulu na mwanawe wamo kama sikosei.Sasa sijui ni taarifa ya aina gani huyo waziri wa fedha ataitoa,maana hata Membe amemtupia mpira...Hiyo listi nayo ilishaongezeka,hiyo habari hapo chini ni wakati bado hawajaongezwa wengine.Cha muhimu hapo ni hayo ya waziri wa fedha na taarifa hiyo...
Raia Mwema - Wamo vigogo wawili wastaafu
 
Back
Top Bottom