PICHA: Rais Jakaya Kikwete alipoongoza kikao maalum cha Baraza la Mawaziri

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=3][/h]

bml1.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda
(kushoto), Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa, Waziri wa Kilimo Profesa
Jumanne Maghembe na Waziri wa Masuala ya Afrika Mashariki Mhe Samuel
Sitta baada ya kumalizika kwa mkutano maalumu wa Baraza la Mawaziri
pamoja na Manaibu Mawaziri na Makatibu wakuu alipokutana nao Alhamisi
Septemba 8, 2012 katika ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu jijini Dar es
salaam.

bml2.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda
(kulia kwake) na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto)
kwake wakati wa mkutano maalumu wa Baraza la Mawaziri pamoja na Manaibu
Mawaziri na Makatibu wakuu alipokutana nao Alhamisi Septemba 8, 2012
katika ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu jijini Dar es salaam.

bml3.jpg

Wajumbe katika mkutano maalumu wa Baraza la Mawaziri pamoja na Manaibu
Mawaziri na Makatibu wakuu wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete
(hayupo pichani) alipokutana nao Alhamisi Septemba 8, 2012 katika ukumbi
wa Mikutano wa Benki Kuu jijini Dar es salaam.

5996140674267894691-4795733563052290545

Siajua sana,hivi Katibu Mkuu kiongozi ni cheo kikubwa kuliko waziri, nasema hivo kwa sababu namuona high table wakati mawaziri wapo low table.Ama ni mambo tu ya protokali, nisaideni maana mwenzio katiba sijaisoma nasubiri kusoma katiba mpya maana nikisoma ya zamani na wakati ya sasa ipo mbioni ntajichanganya bure
 
'Amepumzika' Tz muda mrefu sana, soon ataenda kwao...
 
Siajua sana,hivi Katibu Mkuu kiongozi ni cheo kikubwa kuliko waziri, nasema hivo kwa sababu namuona high table wakati mawaziri wapo low table.Ama ni mambo tu ya protokali, nisaideni maana mwenzio katiba sijaisoma nasubiri kusoma katiba mpya maana nikisoma ya zamani na wakati ya sasa ipo mbioni ntajichanganya bure

Mkuu kwenye vikao vya baraza la mawazi, m/kiti ni rais (dhaifu) na katibu katika kikao icho ni katibu mkuu kiongozi, yeye ndiye anayeusika kuandaa agenda na minutes za vikao, yeye ndiye anayefuatilia utekelezaji wa maamuzi ya vikao hivyo. Ndio sababu unamuana amekaa hapo...
 
Mura!!! asante sana kwa ufafanuzi mzuri nisalimie huko maeneo ya Nyichoka na Fort Ikoma
 
Nini zilikuwa Agenda za kikao hiki?!.......Maana naona Serikali yote iko hapa
 
Jamani hakuna kitu kama "kikao maalumcha baraza la mawaziri" chenye kuhusisha watu wasio mawaziri. Hiki kilikuwa kikao cha rais, mawaziri, manaibu na makatibu wakuu. Sio kikao cha baraza la mawaziri kwa kipimo chochote kile.
 
Siajua sana,hivi Katibu Mkuu kiongozi ni cheo kikubwa kuliko waziri, nasema hivo kwa sababu namuona high table wakati mawaziri wapo low table.Ama ni mambo tu ya protokali, nisaideni maana mwenzio katiba sijaisoma nasubiri kusoma katiba mpya maana nikisoma ya zamani na wakati ya sasa ipo mbioni ntajichanganya bure

Yeah ni MKUU wa MAWAZIRI; Yeye ndio anapata na kutoa Ushauri kwa Rais nani anafaa kuwa Waziri
 
Duh jamani nimejenga interest hapa...kama Mkulu anabishana na waziri wake mpya.Ina maana Mkuu wa kaya anabishana na huyu waziri mpya.Kwa lipi tena ...?

Vipi hawakumpa instruction manual na documentation walopishia wengine na walichokuwa wakifanya?Nadhani hawakuendana kwa vile mambo mengine wanahitaji mpa maelezo mengi na ya mkato kuhusu kwanini vitu fulani vinafanywa kama vifanywavyo na mfumo ila si vifanywavyo kitaalauma.

Pengine hawajamsoma kama anaingilika katk issue za kufukia.
 
Duh jamani nimejenga interest hapa...kama Mkulu anabishana na waziri wake mpya.Ina maana Mkuu wa kaya anabishana na huyu waziri mpya.Kwa lipi tena ...?Vipi hawakumpa instruction manual na documentation walopishia wengine na walichokuwa wakifanya?Nadhani hawakuendana kwa vile mambo mengine wanahitaji mpa maelezo mengi na ya mkato kuhusu kwanini vitu fulani vinafanywa kama vifanywavyo na mfumo ila si vifanywavyo kitaalauma.pengine hawajamsoma kama anaingilika katk issue za kufukia.
kama sio waziri a,,,,, naona ngumi ilikuwa imeeelekea mpanda?
 
kama sio waziri a,,,,, naona ngumi ilikuwa imeeelekea mpanda?

CCM ni chama cha hovyo sana,yaani mwenyekiti na rasi wana kila kitu.Mpiga picture na aliyeilet ni watu makini sana.Wanatumia imagination yao kw akiwango kikubwa.nadhani yule michuzi angejifunza hapa na si pics za watu wamepiga pose na smile za kununua.
 
Duh jamani nimejenga interest hapa...kama Mkulu anabishana na waziri wake mpya.Ina maana Mkuu wa kaya anabishana na huyu waziri mpya.Kwa lipi tena ...?Vipi hawakumpa instruction manual na documentation walopishia wengine na walichokuwa wakifanya?Nadhani hawakuendana kwa vile mambo mengine wanahitaji mpa maelezo mengi na ya mkato kuhusu kwanini vitu fulani vinafanywa kama vifanywavyo na mfumo ila si vifanywavyo kitaalauma.pengine hawajamsoma kama anaingilika katk issue za kufukia.

Mkuu nakubaliana na wewe kweli hii picha lazima imeibua maswali magogoni! alipiga nani? kwa nini haikuwa censored? etc
 
Duh kweli jf kiboko kila mahali ipo kila kona inakaba safi sana wadau mnisamehe kwa hili dukuduku langu hivi mbona hicho kiti cha mh.Rais ni kama kile alichokuwa anatembea nacho wakati wa ziara wizarani hii imekaaje wadau mniwie radhi
 
Back
Top Bottom