Mzee wa fund
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 514
- 89
Dhaifu akiamua kuifungia JF,Hapo takua amegusa pabaya.
Dhaifu akiamua kuifungia JF,Hapo takua amegusa pabaya.
hawa jamaa walitaka kufanya nchi iwe unstable .. bora walivyo wastukia mapema ... uhuru wa vyombo vya habari wanautumia vibaya mno.. wanabahati Dr. JK ni mvumilivu .. enzi za mzee mkapa lingeshafungiwa kitambo
kilaza kubenea sasa atakufa na njaa
kilaza kubenea sasa atakufa na njaa
Lione, kumbe una ID nyingi. Ngoja niwastue MoDs wakulambe BAN.mwenyewe!