Picha: Muonekano mpya wa jiji la dar es salaam katika picha

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=3][/h]

576930_10151135426828535_858745445_n.jpg
199024_10151135427088535_185398744_n.jpg
574988_10151135427353535_879478686_n.jpg
558167_10151135427643535_802044716_n.jpg
305064_10151135427863535_211099534_n.jpg
574972_10151135427988535_1130707545_n.jpg
295266_10151135428333535_306054661_n.jpg
320163_10151135428503535_1817692163_n.jpg
555729_10151135428713535_1917198564_n.jpg
206182_10151135428888535_729663873_n.jpg
199079_10151135429043535_428556523_n.jpg
539266_10151135429513535_876220331_n.jpg
400942_10151135429853535_1611827643_n.jpg



 
Splendid... Umeme na Maji tu yanatakiwa.... OH nimesahau Barabara zinahitajika...
 
Wilaya ya Temeke aka Mkoa wa Kipolisi wa Temeke naona was meant to be an "Industrial Area" per se...!
 
iko safi! Iko poa,

ukweli ni kwamba Dar ni mojawapo ya miji 10 inayokua kwa kasi sana duniani.

tuzidi kuwekeza katika miundombinu hasa ya barabara na huduma muhimu kama vile maji, shule, hospitali
 
Kwenye hiyoya foleni pale Ubungo Kibo, naona kama hiyo saluni iliyoko kulia inatembea on the wrong side... kulikoni? Au hii picha ilipigwa enzizile za njia tatu za Lowassa?
 
tehee.........tehe.....sasa ukienda mbele kidogo unafika kwetu mkono wa kulia karibu kabisa na huyo mtu aliyesimama umepaona!
 
What is so special Here? Hata Kariakoo wameshindwa kuweka Hata Lami Vumbi tupu!! No parking!! Hadi Aibu
 
iko safi! Iko poa,

ukweli ni kwamba Dar ni mojawapo ya miji 10 inayokua kwa kasi sana duniani.

tuzidi kuwekeza katika miundombinu hasa ya barabara na huduma muhimu kama vile maji, shule, hospitali
It is ugly. Those clustered cubes without spaces demonstrate our lack of a sense of aesthetics. No planning. Just concrete structures growing like mushrooms everywhere. All the buildings that used to give character to Dar have been pulled down and replaced by those cubes.
 
Back
Top Bottom