Picha Mkapa kapungua, kitambi kiko wapi?

Alipungua tangu alivyopelekewa samansi ya kuitwa mahakamani, chezea mahakama nyieee????!!!

Ninyi wadau wa JF mnavunja watu mbavu. Ina maana alipofika mahakamani kuitikia ile samansi ilimfanya atelekeze hata ile fimbo aliyozoea kuifanya egemeo la wenzo wakati wa kutembea?

Kampeni kule Igunga alivyoonekana na hata kule Arumeru Mashariki tofauti na sasa. Labda amebadili diet na kuwa vegetarian. Mafutamafuta yote huyeyuka na kubaki misuli tu.
 
Back
Top Bottom