Picha Mkapa kapungua, kitambi kiko wapi?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,884
6,885
05_12_s5ye83.jpg

Picha hii ya Mkapa Rais wa zamani Tanzania awamu iliyopita anaonekana kupungua sana hasa kitambi. Sasa anaonekana mwenye siha zaidi na pengine mwenye nguvu zaidi asiyehitaji fimbo ya kujitegemeza anapotembea.
 
Ulaji wa bure ulipungua hasa kupokea maandamano ya kumuunga mkono kwenye kila upuuzi wa CCM. Pia kusemwa kila siku kutokana na kashfa zake na mkewe unadhani mchezo. Acha apungue na angepungua zaidi hata afikie lau kilo mbili. Natamani nikutane naye private tena kizani nimuulize maswali muhimu kuhusu ufisadi.
 
0000001atembeamkapa.jpg

Kampeni za ubunge kule mkoani Tabora - Igunga alikuwa anatembelea fimbo, na alikuwa tufe, leo ni ajabu anaonekana kifua mbele misuli ya tumbo imesinyaa, ni talili tosha amepata dawa ya kupunguza unene, na daktari wake anastahili pongezi, hali kadhalika yeye kuwa msikivu kwa maelekezo ya madaktari.
 
Amebadili kinywaji! kaacha Safari Lager, Jamaa tulikua tunapiga naye kilagi sio mchezo!
 
Amebadili kinywaji! kaacha Safari Lager, Jamaa tulikua tunapiga naye kilagi sio mchezo!

kwahiyo sasa ivi atakuwa anatumia ile kitu ya kenya inaitwaga Komoni maana nasikia huwa mnaanza kujifunga kamba miguuni kabla ya chochote ili mkijinyea muondoke nayo makwenu. poleni sana walevi(waasi wa mafundisho ya mungu).
 
Mi nilifikiri amepiga picha tumbo wazi tukapima limepungua au laa. Unajua mashati yanaficha vitu ndani kwa ndani.
 
Bila shaka huyu mzee ni mnene kiasili, binafsi nadhani moja ya sababu iliyokua inamfanya aonekane kipipa zaidi ni uvaaji wa jaketi la kuzuia risasi(Bullet Proof) enzi hizo akiwa Mkuu wa Kaya ambayo sasa atakua havalishwi.
 
Pamoja na unene, dalili zipo za kupungua, hasa tumbo limesinyaa kiasi chake, na sasa anaonekana kijana zaidi na mwenye nguvu akitembea bila egemezo la wenzo (fimbo).
 
Kutuletea picha zingine mnatutafutia ban maana hawa watu wengine tukiwaona tu tunajikuta maneno yanayotutoka ndo hayo ya ban, tuhurumieni jamani
 
Kutuletea picha zingine mnatutafutia ban maana hawa watu wengine tukiwaona tu tunajikuta maneno yanayotutoka ndo hayo ya ban, tuhurumieni jamani

Sioni sababu ya ban kama lugha si ya udhalilishaji. Nimeleta picha hii kutokana na ninavyoona mabadiliko ya kiafya kwa Mkapa na anaonekana mkakamavu zaidi. Viongozi wengine wanaweza jifunza kwake amefanyaje, maana wengi umri wa Mkapa huwa vigumu kubadilika kiafya kwa kuhofia uzee, lakini Mkapa kaweza.
 
Kutuletea picha zingine mnatutafutia ban maana hawa watu wengine tukiwaona tu tunajikuta maneno yanayotutoka ndo hayo ya ban, tuhurumieni jamani

Kama kwa kuona picha ya mtu, unaweza kutokwa na maneno yatakayopelekea kupigwa ban, basi bila shaka hiyo ni asili na ndio tabia yako ya kukosa staha na busara katika mijadala ya kijamii na hasa yenye tija kwa maslahi ya Taifa na hivyo hustahili kuwa Great Thinker, ni bora ukaendelee kukuna nazi nyumbani
 
Pamoja na unene, dalili zipo za kupungua, hasa tumbo limesinyaa kiasi chake, na sasa anaonekana kijana zaidi na mwenye nguvu akitembea bila egemezo la wenzo (fimbo).

tiba aliyopata ya kupungua angempa na hawara ya lulu, yule aliyemjengea banda kimara, at least na ye aonekane ka binadamu. coz mshkaji sasa hivi kwa kutafuta 6 pacs anaweza kummudu lulu vilivyo.
 
0000001atembeamkapa.jpg

Kampeni za ubunge kule mkoani Tabora - Igunga alikuwa anatembelea fimbo, na alikuwa tufe, leo ni ajabu anaonekana kifua mbele misuli ya tumbo imesinyaa, ni talili tosha amepata dawa ya kupunguza unene, na daktari wake anastahili pongezi, hali kadhalika yeye kuwa msikivu kwa maelekezo ya madaktari.

Kwa vyo vyote mwonekano huu ni tofauti na alivyozoeleka. Samahani kwa kusema alikuwa kama tufe, lakini leo anavyoonekana na afya nzuri, anatembea kwa maringo kwa mtondo wa gwaride, na hata anaweza siku hizi kufanya zoezi la afya ile push up.
 
Alipungua tangu alivyopelekewa samansi ya kuitwa mahakamani, chezea mahakama nyieee????!!!
 
Back
Top Bottom