nashicha
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 279
- 517
Niwaulize CCM kweli ni vizuri kumuweka mtu wa aina ya Balozi Emanuel Nchimbi mwenye ueledi wa juu na siasa za kistaarabu kufanya kazi Makonda? Mh Kinana kwanini hukumshauri Rais mkiona watu kwenye mikutano ya makonda ujue wanakwenda kumshangaa je ni kweli ni yeye??
CCM inakufa kifo cha kunywa sumu chenyewe wenye chama mlitakiwa mjini ulize Makonda ni faida au hasara? Maana Lema amemwita mtu asiye mstaarabu hivi huyu makonda pale CHADEMA anaweza kusimama na nani? SUGU AU HECHE AU MNYIKA AU MSIGWA CCM inazidi kupauka kuweni makini Makonda sio sahihi kwa chama kwa kipindi cha siasa za kistaarabu mtapigwa chini kwa kasi ya ajabu.