Picha: Mikutano Muleba - Heche aliyoyaacha Bukoba moto waiwakia CCM

Hongereni Sana Heche na makamanda wote

Magamba wanasema CDM haipo ijijini now cjui watasemaje
kazi nzuri endeleeni tupo pamoja
 
attachment.php
 
Napata shida kidogo staili ya Heche kuhutubia akiwa ameweka mkono mmoja mfukoni. Kwenye public psychology, hii sio kitu nzuri. Namuomba (kwa faida yake) kama anaweza ajitahidi kuacha...
 
...........HECHE weka mizizi kabla hawajaanza kukuharibia maana cdm kuna mamluki wengi sana......
Mtu akifanya vema utaskia wanaanza vurugu za chinichini.....
 
Napata shida kidogo staili ya Heche kuhutubia akiwa ameweka mkono mmoja mfukoni. Kwenye public psychology, hii sio kitu nzuri. Namuomba (kwa faida yake) kama anaweza ajitahidi kuacha...
yawezekana anajilinda mzee huwezi jua hana mlinzi au lah kikinuka hajui kaweka wapi bareta yake itakuwaje? mwache dogo apige mbizi yeye katuomba tuwaombee tu na huyu ngurumo naona wamo
 
Safi sana M4C,naona Kamanda Ngurumo amepakumbuka nyumbani kwao Kamachumu!
 
Wakati wengine wanakijenga chama wengine wanawatukana viongozi,jamani vijana wenzangu sio lazima wote tuwe viongozi,tukishindwa tukubali, tuungane kukijenga chama,ukiona huwezi unaondoka 2 kama walowahi kuondoka
 
Back
Top Bottom