PICHA: Miili Ya Askari Wa JWTZ Waliokufa Nchini Sudani Yaagwa Leo

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
[h=3][/h]


Askari wa Jwtz wakiwa wamebeba moja ya jeneza la mwili waaskari wa 3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya maji wakivuka mto Lamada, Sudani walikokwenda kulinda amani chini ya jeshi la umoja wa Mataifa muda mfupi kabla ya kuiaga mili hiyo Lugalo jijini Dar es Salaam

Askari wa JWT wakingiza miili ya marehemu katika Gari tayari kwa safari ya kuelekea mikoani kwa ajili ya Mazish

Mkuuwa Majeshi nchini Devis Mwamunyange akifariji mke wa moja wa askari walifariki Bi, Fatuma Chunguile
10.JPG


Mkuuwa Majeshi nchini Devis Mwamunyange akitoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu
 
Nimesikitika sana,pumzikeni kwa amani makamanda,poleni wafiwa
 
yaani wamekufa kwa mai wakivuka mto au?sijaelewa?ina maana hawajui kuogelea au? Pumzikeni wanajeshi mliokufa huko mkivuka mto..tutaonana parapanda ikilia
 
Huyu Mwamnyange hizo pete kubwa za nini au nazo ni nishani za mikononi!!!?????
 
yaani wamekufa kwa mai wakivuka mto au?sijaelewa?ina maana hawajui kuogelea au? Pumzikeni wanajeshi mliokufa huko mkivuka mto..tutaonana parapanda ikilia
Tujaribu kufiria kabla ya kutoa mada hasa kwa ishu kama hizi.gari ikitumbukia kwenye maji inateggemea wewe ulikaa wapi.ukiwa ndani ya gari na mkondo wa maji mkubwa ni ngumu sana kuweza kutoka ndani ya gari maji yuanaweka presure kwenye mlango na inakuwa ngumu kufungua.rip wanajeshi wetu.
 
ehee Mwenyezi bariki famila za makamanda wote waliotutoka kwani yote hayo mapenzi yake yeye mwenyewe mkuu wa vitu vyote katika dunia hii ambaye alivitoa na kisha kuvichukua.
 
yaani wamekufa kwa mai wakivuka mto au?sijaelewa?ina maana hawajui kuogelea au? Pumzikeni wanajeshi mliokufa huko mkivuka mto..tutaonana parapanda ikilia
Silly comments from tiny brain..,
chanzo cha kifo kilisharipotiwa humu jf..,
Hata mm mwenyewe nlianzisha thread kuhusu hawa mashujaa walivyopotea..,

Uwe na heshima, katika hili tukio la kusikitisha watu wamepoteza kaka/baba/mume/ndugu/kijana wao

rip mashujaa
 
Back
Top Bottom