Moshe Dayan
JF-Expert Member
- Feb 10, 2008
- 815
- 698
Katika habari hii nzima, uliloliona la msingi ni pete za mwamunyange!??aisee!Huyu Mwamnyange hizo pete kubwa za nini au nazo ni nishani za mikononi!!!?????
Hebu rudi kwenye heading, then jishauri kama umeielewa vizuri, otherwise anzisha thread kuhusu mapete unayoyasema