Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,045
- 5,092
baadhi ya picha nimeona njia za vumbi, je maandamano yalipita barabara kubwa za lami au uswaz
Kuna vumbi la kutosha Kahama. Mji wa dhahabu usio na barabara
baadhi ya picha nimeona njia za vumbi, je maandamano yalipita barabara kubwa za lami au uswaz
baadhi ya picha nimeona njia za vumbi, je maandamano yalipita barabara kubwa za lami au uswaz
Mkwere alisema hivi ni vyama vya msimu mbona analialia sasa...........mpangaji naona kelele zake mwenye nyumba halali.Kwisha habari yake
Inakera sana...Kuna vumbi la kutosha Kahama. Mji wa dhahabu usio na barabara
Yaani bado Kahama kuko vile vile tangu niondoke 80-90s wakati nasoma primary, hiyo mitaa sijui ni uhindini barabara ya kwenda Mhongolo Genery hapo kuelekea uwanja wa mpira au kule Nyihogo kwenye community center were we used to play disco toto wakati wa IDD, Krismas na sherehe za mwenge? Duu hata kina Asaiz, Abdallah (ABS) etc hawajabadili mitindo ya nyumba zao duuh ama kweli! Any way tuko pamoja.