Picha-maandamano chadema kahama ni nooooomaaaa

Mkwere alisema hivi ni vyama vya msimu mbona analialia sasa...........mpangaji naona kelele zake mwenye nyumba halali.Kwisha habari yake
 
baadhi ya picha nimeona njia za vumbi, je maandamano yalipita barabara kubwa za lami au uswaz

Yaani bado Kahama kuko vile vile tangu niondoke 80-90s wakati nasoma primary, hiyo mitaa sijui ni uhindini barabara ya kwenda Mhongolo Genery hapo kuelekea uwanja wa mpira au kule Nyihogo kwenye community center were we used to play disco toto wakati wa IDD, Krismas na sherehe za mwenge? Duu hata kina Asaiz, Abdallah (ABS) etc hawajabadili mitindo ya nyumba zao duuh ama kweli! Any way tuko pamoja.
 
Nashukuru kw picha nzuri sana , niliona mtu mmoja ana bango limeandikwa "HERI UKIMWI KULIKO KIKWETE" polisi walimunyanganya baadaye wao wakataka kupigana kuhusu hilo jambo, baada ya msafara kufika wakamrudishia huyo mtu bango lake.
 
GOOOOOO...OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO Chadema...Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooo DR wa ukweli..................................
 
Mkwere alisema hivi ni vyama vya msimu mbona analialia sasa...........mpangaji naona kelele zake mwenye nyumba halali.Kwisha habari yake

Kama umesoma hotuba ya raisi ya mwezi, anajitayarisha kuwaweka watu keko. NaamIni Dr. Slaa haogopi. Je mimi na wewe tupo tayari kuwasindikiza wana mapinduzi KEKO? Kuna gharama ukidai haki yako.
 
Kahama wamechangamka. Hilo halina ubishi. Isingekuwa ni uchakachuaji wa sisiem mbunge angekuwa ni wa cdm.
 
Machozi ya furaha yanazidi kunitoka mie ndo maana mkwere anagwaya! Asante mbowe kwa mwongozo wako na DR.Slaa kwa hekima zako za kutofumbua macho na kututoa matongotongo machoni mwetu ss tuliokuwa bado usingizini
 
Yaani bado Kahama kuko vile vile tangu niondoke 80-90s wakati nasoma primary, hiyo mitaa sijui ni uhindini barabara ya kwenda Mhongolo Genery hapo kuelekea uwanja wa mpira au kule Nyihogo kwenye community center were we used to play disco toto wakati wa IDD, Krismas na sherehe za mwenge? Duu hata kina Asaiz, Abdallah (ABS) etc hawajabadili mitindo ya nyumba zao duuh ama kweli! Any way tuko pamoja.

Asante kwa kuijua Kahama japo kidogo.. Mimi nipo Kahama kama miaka 2 sasa, mmiliki wa ABS buses nakaa naye jirani ni rafiki yangu sana.. Anaishi Phantom na amewekeza eneo hlo kwa kujenga flem kama mia moja hv.. Na hapa ndo maandamano yalianzia.. By the way Kahama imeendelea kuliko wilaya yoyote Tnz.. Na ni ya 2 kuchangia pato la taifa baada ya Ilala.. Kuna nyumba za thamani, kama za Mbezi beach au zaidi, japo si za ghorofa.. Mji umepangiliwa kuna mitaa si kama Mwananyamala au Kino.. Tatizo kubwa ni lami na hii inasababishwa na uongozi mbovu. KARIBU KAHAMA.. "the city of gold" Hatuna bahari tu.
 
Back
Top Bottom