Picha: Jakaya Kikwete akibusu mkono wa Papa Benedict

'Hakika Dini Safi ni ya Mwenyezi Mungu tu...........................................hakika Mwenyezi Mungu hamwongoi aliye mwongo kufar !

Qur'an: 39:3.


Yeah ni kweli kabisa, ila inategemea ni.mwenyezi Mungu anaezungumziwa...
Sometimes ni ngumu kuukabili ukweli!
 
1432378951722.jpg
 
---------, Papa ni jina la cheo cha taasisi wanazosimamia, office zao ndio zinatunza siri ya mikataba hiyo...

Kumbuka enzi za utawala wa Roma, Israeli ilikuwa na nguvu sana....ili kuipunguza nguvu ilibidi kanisa la Roma lianzishe dini mbadala kwa kuwatumia waarabu...walianza hivyo kwa kumuotesha ndoto feki Mtume Mohammed..

Unajua uhusiano wa Fatema wa waislam na utume wa Fatema wa kanisa Katoliki?

Uje nikupe madini zaidi mkuu, :sly:

.mkuu lakini unasema kweli au ndio akutukanaye hachagui tusi.? Mbona mageni hayo unayo yasema.? Haya tufumbue macho wenzio....!
 

Hivyo Ndo Freemason Wafanyavyo..! Huwezi Kuongoza Nchi Bila Kua Agent Wa Fm Na Hapo Mkuu Wa Kaya Anarudisha Nguvu Zote Kwa Fm Alizopewa Enz Za Utawala Wake. ROMAN CATOLIC Ndo Waasisi Wa Freemason Dunian Kote, Na Wakitaka Uwe Rais Wa Nchi Flan Utakua Tu Ni Lazima Na Kama Hawakutak Huwez Kua Kamwe, Sasa Moja Ya Mashart Yao ili Uwe Rais Au Kiongoz Mkubwa Nchin Ni Lazima Utoe Kafara Kubwa Ktk Taifa Lako. Na Ndo Maana Kila Rais Aingiapo Madarakan Tz Lazima Itokee Tukio La Kihistoria. Fuatilia Mwenyewe Matukio Makubwa Kwa Marais Wote Waliopita Tz Na Aliyupo Sasa Utaamin Nisemacho.
Hongera Mkuu Mleta Mada.
 
Yeah ni kweli kabisa, ila inategemea ni.mwenyezi Mungu anaezungumziwa...
Sometimes ni ngumu kuukabili ukweli!

'(Mwenyezi Mungu) Ameumba mbingu na ardhi kwa Haki. Hufunika usiku juu ya mchana, hufunika mchana juu ya usiku. Na amefanya jua na mwezi vitumike. Kila kimoja kinakwenda kwa kipindi kilicho wekewa. Jueni mtanabahi ! (get it and understand it !) Yeye ndiye Mwenye Nguvu, Mwenye Kusamehe.
Qur'an:39:5.

Tuzungumzie kuhusu mungu wako ! BIGURUBE
 
Last edited by a moderator:
---------, Papa ni jina la cheo cha taasisi wanazosimamia, office zao ndio zinatunza siri ya mikataba hiyo...

Kumbuka enzi za utawala wa Roma, Israeli ilikuwa na nguvu sana....ili kuipunguza nguvu ilibidi kanisa la Roma lianzishe dini mbadala kwa kuwatumia waarabu...walianza hivyo kwa kumuotesha ndoto feki Mtume Mohammed..

Unajua uhusiano wa Fatema wa waislam na utume wa Fatema wa kanisa Katoliki?

Uje nikupe madini zaidi mkuu, :sly:

tiririka mkuu!
 
Hata uwe dini gani, lazima upate baraka za roma kama kiongozi, ni taasisi kubwa, madhehebu yote ya kikristo ni matawi ya roma!
Hata KIKUWETE anajua hilo!
Sasa utaona watu wanakuja na povu kibao!

.....ndo kusema una confirm mfumo Kristo !?........... ndo kusema unakubaliana na itikadi ya Boko Haram !? :confused2:
 
Hahahaha naona mzee wa Msoga anafundishwa jinsi ya kutunza kumbu kumbu hahahaha

Anajidai kuwaaminisha watu kuwa wasichanganye dini na siasa kuwa ni hatari ana sahau miaka yote utaeala wake alikuwa anatumia mgongo wa dini kutwala…

Amesahau alimtumia hadi lipumba kuzunguka misikitini kupata kura za Waislam hahahaha

Jk anatakiwa kumsaidia Mama Abdul kujibu hoja za bandari si kuwatisha watu
 
Back
Top Bottom