Picha: Jakaya Kikwete akibusu mkono wa Papa Benedict

Huyu jamaa ni msanii mzuri; na haya kasema mwenyewe kuwa asingehomola urais angekuwa anaigiza na kuimba nyimbo za bongo fleva!!
 
Search Google...How Vatican created Islam...utaona mengi sana usiyoyajua....

Siri za hizi dini mbili wanazo Papa na kiongozi wa kidini wa Iran, Ayattoulah Al Khomenei!
 
Corbis-42-19079090.jpg

Audhubillahi minashetwan rajiim!
 
Search Google...How Vatican created Islam...utaona mengi sana usiyoyajua....

Siri za hizi dini mbili wanazo Papa na kiongozi wa kidini wa Iran, Ayattoulah Al Khomenei!

Unaujua uislamu au unausikia? Have u ever read the qur an with an open mind and contemplate its verses? Have you seen how much it challenges humans to produce the like of it and nobody has ever done!! Have you realised the eccellence of arabic grammar in it that have astounded even the western scholars??? Oh please...
 
Talking nonsense:sly:
Islam was created by vatican....ni ujinga kuamini akili yako kuwa ipo sahihi pasipo kujilinganisha na nyingine...what's quran by the way??? Zile mnaziita hadithi za Mtume zote alikuwa akiletewa toka Vatican nae anawasimulia watu!

This is the world greatest!
 
Search Google...How Vatican created Islam...utaona mengi sana usiyoyajua....

Siri za hizi dini mbili wanazo Papa na kiongozi wa kidini wa Iran, Ayattoulah Al Khomenei!

Aiseeeh .... sasa walianzisha jambo la maana, wao wakabaki na upuuzi!
Ndo kusema Mapapa wa Vatikani waliwafundisha Waislaam kuswali?
 
U're absolutely right...yule Ayatollaha Al Khomei na Papa wa Vatican ndio wamekalia siri hii, lengo la Vatican kuanzisha uislam ilikuwa ni kutaka kuangamiza nguvu ya Israeli...
 
..........hakuna Ayatollahu mwenye jina hilo (ninao wajua ni Khomein na Khamanei) wote ni wa Karne hii ya 19. Na katika Mapapa wana majina na number, sasa unaye mtaja wewe sijui ni yupi ?
Kwa nini watake kuangamiza nguvu ya Israel !?

Sala- Israel.JPG
 
View attachment 253839

---------, Papa ni jina la cheo cha taasisi wanazosimamia, office zao ndio zinatunza siri ya mikataba hiyo...

Kumbuka enzi za utawala wa Roma, Israeli ilikuwa na nguvu sana....ili kuipunguza nguvu ilibidi kanisa la Roma lianzishe dini mbadala kwa kuwatumia waarabu...walianza hivyo kwa kumuotesha ndoto feki Mtume Mohammed..

Unajua uhusiano wa Fatema wa waislam na utume wa Fatema wa kanisa Katoliki?

Uje nikupe madini zaidi mkuu, :sly:
 
BOB OS

'Na wale wanao jiepusha na Ibada potofu, na wakarejea kwa Mwenyezi Mungu, watapata bishara njema. Basi wabashirie waja wangu.

'Ambao husikiliza maneno (ya Mwenyezi Mungu), wakafuata lilio bora yao. Hao ndio alio waongoa Mwenyezi Mungu, na hao ndio wenye akili.

Qur'an: 39:17-18.
 
Last edited by a moderator:
---------, Papa ni jina la cheo cha taasisi wanazosimamia, office zao ndio zinatunza siri ya mikataba hiyo...

Kumbuka enzi za utawala wa Roma, Israeli ilikuwa na nguvu sana....ili kuipunguza nguvu ilibidi kanisa la Roma lianzishe dini mbadala kwa kuwatumia waarabu...walianza hivyo kwa kumuotesha ndoto feki Mtume Mohammed..

Unajua uhusiano wa Fatema wa waislam na utume wa Fatema wa kanisa Katoliki?

Uje nikupe madini zaidi mkuu, :sly:

Wayahudi nwalikuwana nguvu gani wakati walikuw ni Watumwa Misri na baadae walitawaliwa na Warumi (Roma) !? :confused2:
 
Dini iko moyoni mwako, sio rahisi kukubali mabadiliko hasi yyt yanayohusu dini yako, hata km yamejaa ukweli....

The truth is, Islam was created by vatican
 
'Hakika Dini Safi ni ya Mwenyezi Mungu tu...........................................hakika Mwenyezi Mungu hamwongoi aliye mwongo kufar !

Qur'an: 39:3.

Back
Top Bottom