Picha inaongea! Msichanganye dini na siasa

Hayo ameyasema Rais mstaafu Jakaya mrisho kikwete
Na kweli sio vizuri kuchanganya dini na siasaView attachment 2723188View attachment 2723189
TEC hawajachanganya dini na siasa.
Kazi yao ni kukemea matendo yote maovu na kuwaepusha watu na hatari inayotarajiwa( utumwa wa taifa la Tanzania kwa Dubai). Kuchanganya dini na siasa kuko wapi hapo?
Viongozi wetu wa Kiserikali watende mambo kwa busara na siyo kukimbilia kwenye vivuli vya dini.
 
Wamekuelewa
 
Mbona mwenyewe kwenye picha anachanganya dini na siasa? ...Huko Vatican alikwenda kabla ya kuwa Rais na mwanasiasa wa JMT?... Kwa nini yeye akataze viongozi wa muhimili wa Vatican wasifanye siasa kama raia wengine? ...
Na kwa nini aibuke leo siku ya kusoma waraka kwa waumini wa dhehebu la kikatoliki?.....Maswali yasiyo na majibu ni mengi mno.... :oops:
 
Ndio maana alikuambia akili za kuambiwa changanya na zako
Ile kauli ndio inamhukum leo hii
 
chadema wanataka kuligawa taifa
....Udini ! CHADEMA hakiwezi kuligawa Taifa ! Hata kule Rwanda Mauaji ya Kimbari yalitokea Kwa Sababu kundi dogo la Waheshimiwa lilipotaka kujiona lika Akili Sana Kuliko Wananchi ,
 
Back
Top Bottom