Melki the Storyteller
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,713
- 9,835
Kwa wale watumiaji wa mtandao pendwa wa X, nadhani mtakuwa mashahidi. Kwenye misiba hii ya taifa nimemuona sana. Pia kwenye habari za kigogo ama Malkia, watu humtumia sana kwenye replies. Ni nani huyu? Ama ana uhusiano gani na matukio kama haya?
Ama wanamtumia kwenye issue za huzuni kwa sababu ya mwonekano wa sura yake?
Ama wanamtumia kwenye issue za huzuni kwa sababu ya mwonekano wa sura yake?