Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
- Nilimuuliza Makamu maswali manne:-
1. Foleni za magari bongo: vipi serikali inajua na ina mpango gani?
2. Ajali za magari bongo: vipi serikali ina mpango wowote wa kuingilia kati maana wananchi wetu wanakufa sana.
3. TPDC: kwa nini kampuni ya mafuta Tanzania isipewe jukumu la kisheria kumiliki vituo vya kuuzia mafuta kupunguza uhuni wa bei na kuchakachuliwa mafuta!
4. Vituo vya mafuta ya magari Bara bara ya Dar to Morogoro: mbona vingi sana kuliko wanunuaji? Je serikali inajua kwamba vinatumika kuchakachua mafuta?
- Haya ndio maswali niliyomuuliza makamu na alitoa majibu pia na nilipta nafasi chemba ya kumuuliza kuhusu mambo ya CCM na magamba si unajua sikutaka kumwaga mtama kwenye kuku wengi!, ila one thing sikuenda pale kukenua meno na kusubiri picha! ha! ha! ha! TAIFA KWANZA KAMA KAWAIDA!
Thaanks!
William @ NYC, USA.
Vtu kama hivi japo mikutano ni ya CCM magamba ndo tunataka kusikia.
Thanks sana Mkuuu