William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Mbona unakimbilia kugombanishwa na chama hatuoni hoja yeyote hapa, kumbe unajua Facebook ni sehemu ya kukenulia meno mbona umesema picha yako na Bilal iko kule ina maana inakenua meno kule, tatizo lako uko selfish sana unataka kila thread ikusifie for nothing.
1. Tunapotaka kukenua meno, tunaenda Facebook lakini tunapotaka kujadili Taifa tunakuja hapa kwanza, lakini one thing ni kwamba hatuji hapa kukenua meno! NEVER!
2. Mimi ni Capitalist ambayo msingi wake ni selfishness ndio maana Communism ilishindwa kwa sababu ilikuwa ni against nature ya sisi bin-adam yaani u-selfishness, so I take this a s a compliment and I love it!
MUCH RESPECT!
William @ NYC, USA.