PICHA: Dr. Slaa kwenye mkutano wa kuwashukuru wana Igunga; Barabara ya lami kiwango cha chini

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Picha Mbalimbali Za Katibu Mkuu wa Chadema Dk Wilbrod Slaa Kwenye Mkutano wa Kuwashukuru Wananchi wa Jimbo la igunga



Slaa+na+Kashindye.JPG

Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod
Slaa, akisalimiana na aliyekuwa mgombea wa ubunge jimbo la Igunga katika
uchaguzi mdogo mwaka jana, kupitia Chadema, Mwalimu Joseph Kashindye,
walipokutana katika mkutano wa kuwashukuru wananchi wa jimbo hilo kwa
ushiriki wao katika kesi ya uchaguzi wa jimbo hilo, ambayo Chadema
kiliibuka mshindi, uliofanytika kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Igunga

Dk+Slaa+na+Kasulumbai.JPG

Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa
akikumbatinana na Mbunge wa Maswa Mashariki, Slyvester Kasulumbai,
walipokutana katika mkutano wa hadhara wa kuwashukuru wananchi wa jimbo
la Igunga kwa ushiriki wao katika kesi ya uchaguzi wa jimbo hilo, kwenye
Uwanja wa Sokoine mjini Igunga juzi.

Slaa.jpg


CHADEMA Secretary General, Dr Wilbroad Slaa addressing Igunga province residents

Makorongo+Sekenke.JPG

Kutokana
na kilichoelezwa kuwekwa kwa lami chini yakiwango katika mlima Sekenke
mkoani Singida, imeharibika vibaya kama inavyoonyesha pichani magari
yakipita kwa shida baada ya lami hiyo kubomoka kwa kipindi kifupi tangu
iwekwe, kama ilivyokutwa jana.


Picha na Joseph Senga
 
WIZI Barabara LAMI DHAIFU imeng'oka na pesa zimekimbia... Mkandarasi ashitakiwe... Mwingulu Nchemba yeye anawaza Ukabila; Sio Infrastructure

Mkoani kwake... Yaani Nchi yetu hawa VIJANA wa CCM ni Matatizo ya Taifa letu...
 
Eee!!!Chadema mkombozi wangu na wa taifa hili,hakika tunamuomba Mwenyezi Mungu tuufikie uhuru wa kweli,laana ya haya magamba itawatafuna wao na vizazi vyao kwa ufisadi walioufanya kwenye nchi yetu....Aluta Continue!!!
 
I looooove CHADEMA, I looooove Tanzania, I loooove Dr. Slaa he is our hero !!!!!!!!!!!!!!!!! ole waooooo
 
TBC, Polisi, majeshi, TISS sasa hivi mtawageukia CCM japo wengine vibarua vitaota kuweni makini. Watawala mwisho wao umeonekanaaaaaaaa ! tena hii bila vita watanzania. Tumuombe Mungu. Chenge hizo change utarudisha tu, wenye pesa nje mtajificha wapi???? watanzania tunakaribia maisha bora kwa kila mtanzania.
 
WIZI Barabara LAMI DHAIFU imeng'oka na pesa zimekimbia... Mkandarasi ashitakiwe... Mwingulu Nchemba yeye anawaza Ukabila; Sio Infrastructure

Mkoani kwake... Yaani Nchi yetu hawa VIJANA wa CCM ni Matatizo ya Taifa letu...
Kwani wewe hukuahidiwa masha bora? Hii lami anaweza tu kujengewe mtu mwenye maisha bora na hapa ni kila mtanzania. Huyu rais na CCM yake ni zaidi ya DHAIFU.
 
Back
Top Bottom