Kwani hujui alipo lipumba? Ni mwenyekiti kamati ya uchumi ya umoja wa mataifa yupo marekani anashughulikia uchumi wa dunia.tarehe 11/03/2012 atapokewa na paul kagame,odinga,mwai kibaki,museveni,jk kikwete na watanzania wote kwa ujumla kwa kuipa heshima afrika kuongoza maprofesa 20 wa kizungu naye kuwa mkiti wao wa kamati ya uchumi ya umoja wa mataifa.
huyu anajenga huku mbele na nyuma kunabomoka kwa kasi, sasa sielewi ni nini hiiChama cha wanachi CUF kimefanya mikutano mikubwa wilaya ya bunda.Wananchi wamepatwa na furaha kubwa hasa pale Naib u katibu mkuu wa CUF Mtatiro alipokuwa akiwaelimisha suala la Katiba mpya.Huku msanii wa bongo fleva kutoka Bunda akapanda jukwaani na kumchanachana Wasira kwa kukaa Dar huku jimbo linadorora.CUF wameanza ziara mkoa wa Mara na wananchi wamekuwa na ham kubwa na CUF na kukipokea kuwa ni mkombozi wake.
View attachment 48539
Njoo uchukue rambirambi ya kifo cha CUF....wahi kabla sija logoutHiki chama mfu kimpe presha waziri Wassira? Mnacheza nyie.
Mkuu chama hiko kimeishatelekezwa. Mwenyekiti kakimbia na sijui kama kina makamo mwenyekiti. Maalim Seff ameishapata alichokuwa akikitaka. Naona Julius Mtatiro anajichongea uchochoro wa matatizo kwa kuwakusanya under ages na kufanya nao mkutano kinyume cha sheria inalinda watoto.Seif yuko wapi na Lipumba yuko wapi; mbona wanakuwa kama wamekitelekeza chama?
Mbona ni watoto tu,2015 watakuwa bado hawajafikisha miaka 18,a good wastage of time and resources
Mkuu una maana CUF imejivua gamba kwa kuwatupa wazee na sasa inaanza upya kabisa. Nadhani Tendwa awe anafanya periodical confirmation ya wanachama wa vyama ili kujua kama bado chama kina wanachama wa kukifanya kiendelee kuwa kwenye daftari la usajili.Mkuu, watoto nao ni watu. Siasa za ukomonisti walianza kwa kuwapandikiza itikadi watoto wadogo. Hii ni hatua, usiwapuuze mkuu!
Mkuu una maana CUF imejivua gamba kwa kuwatupa wazee na sasa inaanza upya kabisa. Nadhani Tendwa awe anafanya periodical confirmation ya wanachama wa vyama ili kujua kama bado chama kina wanachama wa kukifanya kiendelee kuwa kwenye daftari la usajili.
Sawa Mkuu ngoja waendelee kuibua vipaji na jufanya scouting. Ila kisiasa inafaa unawachapa watu neno na kuwauzia kadi unaacha ofisi inaendelea kuwapiga watu neno. Hili la kuibua vipaji unaweza ukaibua wensako wakaja kusajili.Mkuu. Binafsi kwa kutazama picha hiyo, kwa CUF na hata vyama vingine, kama ilivyo kwa kandanda ambayo inasisitiza kuwekeza katika vipaji vya watoto wadogo, ndivyo hata siasa inafaa iige mfano huo. Hao watoto wakielewa tangu umri mdogo utakuja kuwapata akina Nyerere, Nkrumah, Zitto, Nape, kwa kutaja wachache!
mbona mkutano wenyewe wamejaa watoto?
Mtatiro ametoka tu juzi Tabora, leo aliyekuwa mgombea wa CUF kule Igunga amekihama chama. Kuna safari ndefu sana CUF
swali mwiba wa katani??chama cha wanachi cuf kimefanya mikutano mikubwa wilaya ya bunda.wananchi wamepatwa na furaha kubwa hasa pale naib u katibu mkuu wa cuf mtatiro alipokuwa akiwaelimisha suala la katiba mpya.huku msanii wa bongo fleva kutoka bunda akapanda jukwaani na kumchanachana wasira kwa kukaa dar huku jimbo linadorora.cuf wameanza ziara mkoa wa mara na wananchi wamekuwa na ham kubwa na cuf na kukipokea kuwa ni mkombozi wake.
View attachment 48539