Picha;CUF ndani ya Bunda mji wazizima,Wasira presha juu

Feb 26, 2012
39
42
Chama cha wanachi CUF kimefanya mikutano mikubwa wilaya ya bunda.Wananchi wamepatwa na furaha kubwa hasa pale Naib u katibu mkuu wa CUF Mtatiro alipokuwa akiwaelimisha suala la Katiba mpya.Huku msanii wa bongo fleva kutoka Bunda akapanda jukwaani na kumchanachana Wasira kwa kukaa Dar huku jimbo linadorora.CUF wameanza ziara mkoa wa Mara na wananchi wamekuwa na ham kubwa na CUF na kukipokea kuwa ni mkombozi wake.
CUF BUNDA.jpg
 
Mtatiro ametoka tu juzi Tabora, leo aliyekuwa mgombea wa CUF kule Igunga amekihama chama. Kuna safari ndefu sana CUF
 
Karibu kamanda Mtatiro!
Kumbe na hii nayo ID yako, nimefurahi kulijua hilo,karibu sana sana

Chama cha wanachi CUF kimefanya mikutano mikubwa wilaya ya bunda.Wananchi wamepatwa na furaha kubwa hasa pale Naib u katibu mkuu wa CUF Mtatiro alipokuwa akiwaelimisha suala la Katiba mpya.Huku msanii wa bongo fleva kutoka Bunda akapanda jukwaani na kumchanachana Wasira kwa kukaa Dar huku jimbo linadorora.CUF wameanza ziara mkoa wa Mara na wananchi wamekuwa na ham kubwa na CUF na kukipokea kuwa ni mkombozi wake.
View attachment 48539
 
Hivi hao watoto kibao wamewakusanyia toka wapi hawa wana KAFU?

Chama cha wanachi CUF kimefanya mikutano mikubwa wilaya ya bunda.Wananchi wamepatwa na furaha kubwa hasa pale Naib u katibu mkuu wa CUF Mtatiro alipokuwa akiwaelimisha suala la Katiba mpya.Huku msanii wa bongo fleva kutoka Bunda akapanda jukwaani na kumchanachana Wasira kwa kukaa Dar huku jimbo linadorora.CUF wameanza ziara mkoa wa Mara na wananchi wamekuwa na ham kubwa na CUF na kukipokea kuwa ni mkombozi wake.
View attachment 48539
 
hata Tabora walifanya mikutano mikubwa sana lakini Mtatilo anaondoka tu CUF mpya inazaliwa ijulikanayo kama ADC akina Mhona wanajiengua hivihivi
 
Chama cha wanachi CUF kimefanya mikutano mikubwa wilaya ya bunda.Wananchi wamepatwa na furaha kubwa hasa pale Naib u katibu mkuu wa CUF Mtatiro alipokuwa akiwaelimisha suala la Katiba mpya.Huku msanii wa bongo fleva kutoka Bunda akapanda jukwaani na kumchanachana Wasira kwa kukaa Dar huku jimbo linadorora.CUF wameanza ziara mkoa wa Mara na wananchi wamekuwa na ham kubwa na CUF na kukipokea kuwa ni mkombozi wake.
View attachment 48539

Hiki chama mfu kimpe presha waziri Wassira? Mnacheza nyie.
 
Anachofanya sasa huyu Katibu wa Bara ni kukusanya night na posho ili zimsaidie baadaye huko CUF mpya iitwayo ADC

Hapo nimekupata mkuu wangu.Kwa sababu ingekuwa kweli wanataka kujenga chama wangeweka mgombea Arumeru ili wakisimike chama huko
 
Kwani hujui alipo lipumba? Ni mwenyekiti kamati ya uchumi ya umoja wa mataifa yupo marekani anashughulikia uchumi wa dunia.tarehe 11/03/2012 atapokewa na paul kagame,odinga,mwai kibaki,museveni,jk kikwete na watanzania wote kwa ujumla kwa kuipa heshima afrika kuongoza maprofesa 20 wa kizungu naye kuwa mkiti wao wa kamati ya uchumi ya umoja wa mataifa.
 
Maalim na mwenyekiti wao wapo wapi wamalize shutuma za Hamadi Rashid?? hapa ni kunguni kuhama kona ya godoro wakati bado ataitwa kunguni...kulaladek
 
Hata mgombea wa cuf igunga alikuwa na mataji wa wawapiga kura elf kumi na moja akaambulia kura elf mbili so kujaza watu kwenye mkutano siyo issue.
 
Mbona naskia huko Bunda hakuna hata ofisi ya CUF? Eti Bw. Mtatiro, au ndio ulienda kufungua ofisi mpya za chama za wilaya mpya kichama ya Bunda?
 
Back
Top Bottom