sosoliso
JF-Expert Member
- May 6, 2009
- 8,539
- 9,462
Seif yuko wapi na Lipumba yuko wapi; mbona wanakuwa kama wamekitelekeza chama?
Seif yuko busy kula matunda ya jasho lake pale SUK.. As for Lipumba nilipita kwenye tawi moja la CUF nikaona bango wanachama wanaombwa kujitokeza kwenda kumpokea Lipumba uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Nyerere tarehe 11/03/2012.. kila mwanachama anaetaka kwenda achangie shs. 2000..