MWIBA WA KATANI
Member
- Feb 26, 2012
- 39
- 42
Chama cha wanachi CUF kimefanya mikutano mikubwa wilaya ya bunda.Wananchi wamepatwa na furaha kubwa hasa pale Naib u katibu mkuu wa CUF Mtatiro alipokuwa akiwaelimisha suala la Katiba mpya.Huku msanii wa bongo fleva kutoka Bunda akapanda jukwaani na kumchanachana Wasira kwa kukaa Dar huku jimbo linadorora.CUF wameanza ziara mkoa wa Mara na wananchi wamekuwa na ham kubwa na CUF na kukipokea kuwa ni mkombozi wake.