PICHA: Chuki ya Dola dhidi ya wananchi inatoka wapi?

Hata Ray Kigosi na maji yake ya weupe nayo iligeuka movement. Tumekuwa kama taifa la wajinga. Na wengine hapa ni machangu na hii ni nafasi nzuri ya kutafuta wateja. Kama huyo Jessica bila shaka atapata mabuzi kibao!
Sawa hao machangu,wewe gasho...
 
Picha hizo moja ndo halisi zingine feki tupu angalia Hilda amepigia nyumbani kwake na hapo chini kuna kandambili na kiti cha kienyeji. Danganya pimbi siyo wanaojitambua!!
hizo ni trending za twitter mkuu,au hujawahi kutumia twitter?
 
images-81.jpg
 
Nina mashaka kama mtoa mada alikua na lengo la mzaha kama wanavyofanya baadhi yenu. Kufanya mzaha kwenye mambo ya msingi ndy kumetufikisha hapa kama Taifa.
Nchi iko kwnye hali tofauti tutegemee watu wenye uelewa/ wasomi kuisaidia taifa, lkn kwa mizaha ya namna hii nina mashaka.
Wasomi wenye maPHD ya Kemikali wako busy kukanyaga Katiba Takatifu ya Taifa letu Tanzania.

Leo unaniambia kuwa mimi ndiye nimekufikisha hapa. Duh!
 
Back
Top Bottom