PICHA: CHADEMA wakutana na Kikwete Ikulu

Mwanzanoni mwa mwaka walileta mswada kimeo wakarudi nao. Sasa wameleta mswada fujo wanahaha. Usiposainiwa watakubali kutengeneza mswada unaokubalika kwa makundi yote ya jamii au hizi sarakasi zitaendelea?
 
nimefurahishwa na picha ya pili kutoka mwisho, kikwete alipogeuka kuwa muhudumu pale alipokuwa anampa juice kamanda mbowe.
 
Yaani upande wa serikali unakuwa na LUKUV, NCHIMBI, MWINYI? tuna safari ndefu hawa ni hamna kitu kabisa
KUDADADEKI!!! Ukisikia "wakijifanya bishoo we kuwa bisho zaidi yao ndio hii sasa!"

Yaani jamaa wamejikoki na nondo za haja including maprofesa wawili lakini Mkulu wa kaya akaona wote nyinyi saizi yenu ni ni Braza Nchimbi, Wassira, Mwinyi na cster Cellina......manake hata kichwa cha ukweli Membe akaona hamna ki2 hapa, na kajiendea zake mazikoni!
 
Chadema aka CCM- C hatuwataki tena mnatuyumbisha wanachama mara hatumtambui Kikwete na serikali yake mara mnamtambua huo ni uroho wa madaraka Big up Slaa and Zito kwa kutokwenda IKULU. Mkiendelea hivyo tunawapiga chini tunaungana na Jembe letu Lowasa ambalo linakuja kwa kasi na kukubalika na Rai wa Bongo waliochoshwa na utawala wa JK na Maandamano ya CDM. Lowasa jipanga kamanda CDM wanaanguka na wewe utakuwa kimbilio la watanzania tuko pamoja nawe kwa niaba ya UVCCM na BAVICHA
 
na wewe ni chadema ama kweli akina shibunda wako wengi......
 
Chadema aka CCM- C hatuwataki tena mnatuyumbisha wanachama mara hatumtambui Kikwete na serikali yake mara mnamtambua huo ni uroho wa madaraka Big up Slaa and Zito kwa kutokwenda IKULU. Mkiendelea hivyo tunawapiga chini tunaungana na Jembe letu Lowasa ambalo linakuja kwa kasi na kukubalika na Rai wa Bongo waliochoshwa na utawala wa JK na Maandamano ya CDM. Lowasa jipanga kamanda CDM wanaanguka na wewe utakuwa kimbilio la watanzania tuko pamoja nawe kwa niaba ya UVCCM na BAVICHA

Ulipoenda Lunch umeshushia ugali na kasafari Lager au?

Umendika Kiulevi levi Mangi.
 
Najua kuna wanaotamani vita kwanza na wanadhani CHADEMA ndio kimbilio lao kwamba watasababisha vurugu,
Sidhani, ila mjue busara zinapotawala huwa jambo jema pia, ila inaposhindikana ndio itabidi kuingia barabarani,
Kitu ambacho nawapendea hiki chama kipya cha CHADEMA nikuwa wako all weather,
barabarani, ofisini, kote wamejipanga, in amaana kuwa wako kwa malengo zaidi,
hivyo si rahisi kuyumbishwa

Wanaosema angeluwapo fulani au fulani, ni kweli, ila tukumbuke kuwa hiki ni chama kikubwa kina watu wengi tu, wazuri, wengi wao hopefully wako commited kwa maendeleo ya mtanzania/ mtanganyika included.
hivyo wasingeweza kwenda wote.
Mie binafsi nimependa uwakilishi wao,
nina imani hata kama watashindwa kwa hili, lakini ujumbe utakuwa umefika kwa namna bora sana.
bila mapambo ya magazeti au michujo ya TV na bias za wanasiasa wake.
Kuanzia hapa hatuwezi kusema rAIS ANADANGANYWA NA WAPAMBEWAKE
 
CDM6.jpg

Uko sahihi kabisa, kwani vita si suluhisho la matatizo, kukaa pamoja mkitazamana ana kwa ana husaidia kupunguza hata jazba zilizozoeleka na kujengeka, hatima uhasama huota mbawa na ushindani wa itikadi kiustaarabu huota mizizi ndiyo njia bora ya kujenga nchi kwa amani.
 
nimefurahishwa na picha ya pili kutoka mwisho, kikwete alipogeuka kuwa muhudumu pale alipokuwa anampa juice kamanda mbowe.
Labda alikuwa anahakikisha kale ka sumu kanamfikia mlengwa (utani) hata mie nimeipenda huyu rais hana makuu na ndio maana watu walitegemea mazuri toka kwake lakini cha ajabu imekuwa kinyeme sababu anaijua yeye vizuri kuliko mtu mwingine ni kwa nini hakukidhi matarajio ya watanzania wengi alipochaguliwa 2005
 
sasa chadema kutafuta suluhisho na serikali ni ushujaa ila kwa CUF ilikuwa ni uccm B kwa kweli nyani haoni kundule

Mkuu CUF wameunda serikali na CCM. CUF + CCM = CCMCUF. CDM hawaundi serikali na CCM wala na CUF wanatafuta upatikanaji wa katiba mpya bora kwa ajili ya wote pamoja na wewe. Wameamua kutumia njia ya mazungumzo, yakishindikana tutajua mbele. CUF walishinda Zanzibar wakauza ushindi kwa ndoa ya kupewa uke wenza makamu wa Raisi Zanzabar na baadhi ya vijimaandazi uwaziri.

Ni utaratibu mzuri kuzungumza pale mnaposhindwa kuelewana na ni lazima tuenzi utaratibu huu ili siasa yetu ituletee maendeleo ya kweli. Ila tunachopinga ni kuungana kwani kunauwa ushindani na uwajibikaji. Hatuwezi kuendelea bila check and balance.
 
Ndugu Wananchi,
Kitendo cha CDM kupeleka maoni au malalamiko yao kwa Raisi wa JMT, ni jambo la mafanikio sana. Ni kitendo cha busara na chema kwa Raisi pia kuwakubalia. Kama maandamo yangekuwepo, bado still malalamiko hayo angeambiwa mtu fulani ambaye ni Raisi.
Sasa hili limefanyika hata bila maandamano hivyo msg sent. Sasa ni serikali kupitia kwa Raisi, kuendelea kutafakari hayo maoni hayo yenye nia njema kwa taifa hili.

Mungu Ibariki Tanzania
 
Nina maswali mawili kwa sasa.
1. Dr Slaa alitajwa kama mjumbe, mbona hakuwepo hapo?
2. Wananchi tunaweza kupata copy ya hayo makarabasha Chadema waliyompa rais ili tujue wanadai nini hasa?
 
Chadema aka CCM- C hatuwataki tena mnatuyumbisha wanachama mara hatumtambui Kikwete na serikali yake mara mnamtambua huo ni uroho wa madaraka Big up Slaa and Zito kwa kutokwenda IKULU. Mkiendelea hivyo tunawapiga chini tunaungana na Jembe letu Lowasa ambalo linakuja kwa kasi na kukubalika na Rai wa Bongo waliochoshwa na utawala wa JK na Maandamano ya CDM. Lowasa jipanga kamanda CDM wanaanguka na wewe utakuwa kimbilio la watanzania tuko pamoja nawe kwa niaba ya UVCCM na BAVICHA
Pamoja na uhuru wa kutoa mawazo,kama unaona kiwango chako ni cha chini (ufinyu wa mawazo) ni bora kutafuta makundi yenye akili size yako kisha ukabwabwaja upendavyo. Huku kwa great thinkers ingia kusoma mijadala tu ili kupanua uwezo wako wa fikra. Kukaa kimya katika jambo usilolielwa nayo ni HEKIMA>
 
2q16w4p.jpg

Urafiki wa mashaka. Tizama hayo madole gumba.

16hnex4.jpg

Boyz II men utawajua tu. Enzi zileeeeeeeeeeeeeee Bills. Cheki mikono yao ilivyokumbatiana. Hawa jamaa nadhani nao hawakukutana barabarani.

16iwdaa.jpg

Maonesho ya viatu. Tunataka Katiba yetu wananchi.

1b0ol.jpg

Huu nao urafiki wa mashaka. Cheki Lisu anavyosechi kama 'hii ni ngozi au ni gloves'. Full intelijensia. Lisu bana.
 
Back
Top Bottom