PICHA:CHADEMA vs CCM - kwenye hitimisho la kampeni za udiwani kata ya Daraja II

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Mkutano wa kampeni za uchaguzi zimehitimishwa leo katika kata ya daraja mbili.
Kwa upande wa chadema mkutano ulihudhuriwa na viongozi Godbless Lema (kiboko ya magamba), Katibu wa mkoa Amani Golugwa, mwenyekiti wa wilaya Ephata Nanyaro, katibu wa wilaya Martin Sarungi na viongozi wengine waandamizi wa chama mkoa na wilaya ya Arusha.

Kwa upande wa ccm mkutano ulihudhuriwa na Stephen Wassira, mgeni rasmi Ole Sendeka, Marry Chatanda, mwenyekiti na katibu wa mkoa na wilaya ya Arusha.

Mkutano wa chadema watu walifurika sana, ambapo kwa ccm pamoja na kuwabeba watu kutoka maeneo mbalimbali kwa ujira wa elfu kumi kumi, watu walikuwa wachache sana, sana sana watu waliweza kuenea kwenye viti vilivyoandaliwa kwenye tents.

Picha:
314226_444678588903245_658169039_n.jpg

522953_444683825569388_668495114_n.jpg

306540_444684982235939_1292187999_n.jpg

282239_444687312235706_2044592971_n.jpg
 
Ccm lazima 90% wamevalia sare na wengi wao wamesombwa na malari kutoka hukoo
 
Kwa mujibu wa halmashauri yangu ya moyoni mwangu, na kwa mujibu wa wana-Daraja mbili HAKIKA diwani ni kutoka CHADEMA.
 
Mkutano wa kampeni za uchaguzi zimehitimishwa leo katika kata ya daraja mbili.
Kwa upande wa chadema mkutano ulihudhuriwa na viongozi Godbless Lema (kiboko ya magamba), Katibu wa mkoa Amani Golugwa, mwenyekiti wa wilaya Ephata Nanyaro, katibu wa wilaya Martin Sarungi na viongozi wengine waandamizi wa chama mkoa na wilaya ya Arusha.

Kwa upande wa ccm mkutano ulihudhuriwa na Stephen Wassira, mgeni rasmi Ole Sendeka, Marry Chatanda, mwenyekiti na katibu wa mkoa na wilaya ya Arusha.

Mkutano wa chadema watu walifurika sana, ambapo kwa ccm pamoja na kuwabeba watu kutoka maeneo mbalimbali kwa ujira wa elfu kumi kumi, watu walikuwa wachache sana, sana sana watu waliweza kuenea kwenye viti vilivyoandaliwa kwenye tents.

Picha nitawatupia humu nikifika home, kuweni na subira.

picha wapi????
 
je kulikuwa na usalama kwenye hitimisho hilo?

Usalama ulikuwepo japo nilishtukiwa wakati nachukua picha za ccm, bahati nzuri niliwaona marafiki zangu waliokuwa wamebebwa kwa ujira wa buku kumi waliponiona tukachangamkiana green guard nikawapotezea kihivyo. In fact Mkuu wa gombe alijionea jinsi ccm ilivyoteketea Arusha. Atajuta kuwa mlezi wa ccm Arusha
 
Mkuu picha ntaweka muda si mrefu.Kwa sasa tupo kwenye logistics kwa ajili ya uchaguzi wa kesho
Ikiwa hata wao wameona kwamba kwa njia ya haki hawawezi kushinda basi lazima kujua watajaribu kila jinsi kuiba, so take care. Bila shaka mmejianda vema hapo kudhibiti mbinu zao chafu.
 
Habari ya upande mmoja wa shilingi. khaaa......
Wee Gamba, si kesharipoti hali ilivyokuwa katika mikutano yote miwili, au unajifanya hujaelewa? Okey, ni hivi:
"Mkutano wa chadema watu walifurika sana, ambapo kwa ccm pamoja na kuwabeba watu kutoka maeneo mbalimbali kwa ujira wa elfu kumi kumi, watu walikuwa wachache sana, sana sana watu waliweza kuenea kwenye viti vilivyoandaliwa kwenye tents". Kama hizi habari bado unaona ni za upande mmoja basi na wewe post za upande huo mwingine tuzione! Gamba bwana? Likishakomaa hata macho hayaoni achilia mbali akili kusimama ghafla kama mgonjwa wa brain concussion!
 
Back
Top Bottom