PICHA:CHADEMA vs CCM - kwenye hitimisho la kampeni za udiwani kata ya Daraja II

Mkuu umepitwa na buku kumi leo watu tumewezeshwa hahaaaa! Ama kweli tunakula za wajinga
Mungi wewe unatakiwa kupelekwa The Hague!huwezi kula buku 10 za CCM kisha unaenda mkutano wa CDM hehe he!
 
Mungi wekapicha ujiandaae kwa usimamizi maana jamaa dakika moja kwa ni nyingi sana wana kumaliza....
 
Ziko wapi tucheck kama ni kweli kwamba ni photoshop.....mbona mie sijaziona!

68075_10151145499473640_1943851460_n.jpg


14196_4946954797987_1059099740_n.jpg
 
Kwa mujibu wa halmashauri yangu ya moyoni mwangu, na kwa mujibu wa wana-Daraja mbili HAKIKA diwani ni kutoka CHADEMA.

peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.................................................................
 
mkuu picha za makamanda wetu vipi?zinangojewa kaka fanya imma tuzipate,m4c vipi unataarifa za ratiba au magamba wanaleta zakuleta maana wanaua watu makusudi ili watutie doa tusiweze kuwavua magamba tukawavalisha magwanda!!!!!!!!!!!!!!!!!???????
 
Photoshop kaka.......................

subiri uone hiyo photoshop kwenye masanduku ya kuhesabia kura. Nasikiwa umeshapewa dili kule . . . . . umelamba shavu la ukampeni meneja kwi kwi kwi, lazima ukwame na uweka hazina wa chama wakutimue.
 
Kwa ufisadi na usanii wa CCM unahitaji kuwa mmoja wa wao kuwapa kura vinginevyo ni lazima waanguke tu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom