[PICHA] CHADEMA Ndani ya Shinyanga

WanaJF.

CHADEMA inaendelea na Maandamano Kanda ya Ziwa na leo tuko Mkoa wa Shinyanga.Maandamano ndio yameanza na watu ni wengi mno.Barabara zimefunga msafara unaenda kwa taabu sana.Karibu Pikipiki na Tax zote za Mjini hapa zipo kwenye maandamano kuelekea Uwanja wa Lubaga. Hakika mambo ni moto.

Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke

Kutoka kwenye Maandamano Shinyanga

Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira

Dada Regia vipi mzee wa mipasho Shibuda yupo???
 
Mheshimiwa Regina,

Naomba ufikishe mawazo yafuatayo kwenye kamati za chama huko juu hasa mlioko kwenye huo mkakati wa maandamano.
1. Naomba mfungue matawi kadri muwezavyo kila mnapopita.
2. Mtoe kadi kwa wanachama wapya kila mnapofanya mkutano na kuwafuatilia hao wanachama wapya kama walokole wanavyofuatilia kondoo mpya.
Nikuombe tena..... shughulikieni mambo hayo!!
Haya mambo ni mazuri sana na watu wengi tumeshatoa mawazo yetu mara nyingi lakini hujibu. Unajibu mengine tu!!!

Mkuu, nadhani umeji contradict hapa! Yawengine si nayo mawazo!
 
tujitahidini sana kuimarisha na kusini kama kuna uwezekano mikoa ya kusini tupite wilaya kwa wilaya nadhani itasaidia na sio kuishia mikoani tu kwasababu kusini naona watu hawajaelewa kabisa maana ya upinzani wao bado wanaitambua CCM tu na sasa hivi wameizoea na CAF kwa kua sehemu hizo waislamu ni wengi kwa hiyo mtakapoanza safari ya kusini kina Regia mjitahidi sana kuzingatia hilo!hakikisheni mnamtoa nyoka pangoni!
 
hikika kumekucha, naiona Jangwani square(DSM), Furahisha square(Mwanza), NMC square( Arusha), Ruandanzovwe square (Mbeya) na Barafu square (Dodoma) moto huu usizimike mpaka kieleweke.
NB: nitaongea na mtikila, Mvungi, safari na wanamegeuzi wa kweli waiunge mkono cdm kwa mabadiliko ya nchi hii
 
WanaJF.

CHADEMA inaendelea na Maandamano Kanda ya Ziwa na leo tuko Mkoa wa Shinyanga.Maandamano ndio yameanza na watu ni wengi mno.Barabara zimefunga msafara unaenda kwa taabu sana.Karibu Pikipiki na Tax zote za Mjini hapa zipo kwenye maandamano kuelekea Uwanja wa Lubaga. Hakika mambo ni moto.

Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke

Kutoka kwenye Maandamano Shinyanga

Regia E Mtema

Waziri Kivuli-Kazi na Ajira

Dada regia naomba unisaidie kujibu kesi moja, eti huku Bukoba mnakuja lini? Maana naona watu wanashona sare hapa za Chadema, Blue, white na nyekundu , wameniuliza sana ila sijajibu, maana nilikuwa Burundi huku sijasoma gazeti la Tz hata moja.
 
Asante da Regia, nawaombeni pia mtengeneze blog ambayo mtaitangaza kwa watu..kisha muwe mna post videos/clips za maandamano ili watu waweze kudownload na kuangalia kwenye kumbi/majumbani...nawaombeni sana watu wana miss sana hata clips za campain..ikiwezekana baada ya operation hii zitoke videos mitaani,hii ni kwasababu baadhi ya vitou vya TV haviripoti vizuri habari za maandamano..hivyo kuwakosesha watu ile ladha na hamasa..........Lifikishe hilo panapohusika dada REGIA MTEMA mbunge wetu...:hand:
 
WanaJF.

CHADEMA inaendelea na Maandamano Kanda ya Ziwa na leo tuko Mkoa wa Shinyanga.Maandamano ndio yameanza na watu ni wengi mno.Barabara zimefunga msafara unaenda kwa taabu sana.Karibu Pikipiki na Tax zote za Mjini hapa zipo kwenye maandamano kuelekea Uwanja wa Lubaga. Hakika mambo ni moto.

Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke

Kutoka kwenye Maandamano Shinyanga

Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira

Dada Regia sina uhakika kama mtapita hapo Tabora, navyojua mimi Tabora ni tawi hai la CCM na kuna baadhi ya wilaya kama Sikonge CHADEMA haifahakiki kwa wanachi wengi.

Najua ni wajibu wetu hasa sisi tuliotoka sehemu hizo kuweka nguvu zetu lakini msafara huo ukipita hata mara moja inakuwa rahisi kwetu.

Kazi nzuri na nawapongeza nyie na wanachadema kwa ujumla. Hakuna kulala hata kama hujala...
 
lema kasema pinda ni muongo anaweza kuwa mwalimu wa uongo kuzimu shibuda hayupo yuko mdee, machemli, nyerere na wengne viti maalum
 
Dada Regia sina uhakika kama mtapita hapo Tabora, navyojua mimi Tabora ni tawi hai la CCM na kuna baadhi ya wilaya kama Sikonge CHADEMA haifahakiki kwa wanachi wengi.

...
Tabora ndio itakua ngome kuu ya CDM
Sikonge Komanding Post
Rukwa RV

Matawi ya CCM yanafungwa sasa huko Shinyanga. Tabora CCM ndio kwisha kabisa, Mr Six anakuja CDM:decision:
 
Taboraaaaaa inaita jamani.

CHADEMA ifike Tabora. SIKONGE twawasubiri kwa hamu.

Regia ntakusumbua kila nikiona makala.

Mkifika huko, msishangae kupata watu wachache maana huku ni CCM tu.

Ila mkiwa na NGUVU ya SLAA na SUGU kwa ajili ya VIJANA, watakuja wengi tu.

Wakifika, basi wapigwe dozi ya CAFFEINE WAAMKE na wasilale tena.

WANYAMWEZI twaisubiri PEPOOOO POWAAAA!!!!!!!!!

Mwageni kadi na kufungua matawi huko kama vile mmesikia mwisho wa dunia umekaribia, kumbe ni mwisho wa CCM.
 
shilungela katibu wa cdm kasema basi likiharibika wanaobaki ni wale wenye mizigo so ccm ni gari bovu tuwaachie gari bovu makatibu na wenyeviti wa ccm wao wana mizigo
 
lema kasema pinda ni muongo anaweza kuwa mwalimu wa uongo kuzimu shibuda hayupo yuko mdee, machemli, nyerere na wengne viti maalum
 
Viongozi wa Chadema mnapopitapita huko mitaani ,nabaada ya kila mwisho wa maandamano nahisi bora kuwaamsha wazalendo kuwa hili ni zoezi tu,na wajitayarishe katika mwito wa mechi yenyewe ,mechi ambayo pengine wengine hawatorudi salama,kwani timu tunayocheza nayo ni rafu tupu,hivyo kuna watakaorudi wakiwa wamevunjika miguu na mikono na hata wengine wasirudi kabisa watakuwa wamepoteza maisha,pindipo ikiitishwa wawe tayaritayari na hakuna kusitasita,mwito unaoashiria kuiondoa CCM madarakani,mwito ambao unatakiwa kiuitikwa katika mikoa yote kwa pamoja kwani miaka hii zaidi ya arobaini kwa CCM imetosha.

Na katika madai ambayo ninataka yaongezwe katika hoja za kuiondoa CCM madarakani ni kuundwa kwa tume mpya,kuondolewa kwa msajili wa vyama na badala yake iwepo kamati huru ya usajili wa vyama vya siasa inayowakilisha wazalendo wanaoheshimika ,na bila ya kuisahau katiba mpya itakayowakilishwa na wadau wa vyama vyote vya upinzami na wazelndo kutoa michango yao katika kuijadili katiba hiyo mpya.
 
tatizo regia anatupa thread na kutuanchia wenyewe tujiendeshe....yaani ni kama jk anavyofanya tunajiendesha wenyewe kama nchi....

unapoweka thread kama hii na picha ili basi hata mimi huku usokami ntapata hamasa.........
 
Taboraaaaaa inaita jamani.

CHADEMA ifike Tabora. SIKONGE twawasubiri kwa hamu.

Regia ntakusumbua kila nikiona makala.

Mkifika huko, msishangae kupata watu wachache maana huku ni CCM tu.

Ila mkiwa na NGUVU ya SLAA na SUGU kwa ajili ya VIJANA, watakuja wengi tu.

Wakifika, basi wapigwe dozi ya CAFFEINE WAAMKE na wasilale tena.:decision:

WANYAMWEZI twaisubiri PEPOOOO POWAAAA!!!!!!!!!

Mwageni kadi na kufungua matawi huko kama vile mmesikia mwisho wa dunia umekaribia, kumbe ni mwisho wa CCM.

Wanyamwezi sio mchezo wewe. Sio suala la muzika hapa ni peopple power. Kama hujui muulize Gadafi.
CCM inakufa, wanyamwezi hawaitaki kabisa. Ignite them.

CCM Kwisha kazi. Wanyamwezi hawajalala.:mullet:
 
Back
Top Bottom