[PICHA] CHADEMA Ndani ya Shinyanga

Regia Mtema

R I P
Nov 21, 2009
2,970
864
WanaJF.

CHADEMA inaendelea na Maandamano Kanda ya Ziwa na leo tuko Mkoa wa Shinyanga.Maandamano ndio yameanza na watu ni wengi mno.Barabara zimefunga msafara unaenda kwa taabu sana.Karibu Pikipiki na Tax zote za Mjini hapa zipo kwenye maandamano kuelekea Uwanja wa Lubaga. Hakika mambo ni moto.

Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke

Kutoka kwenye Maandamano Shinyanga

Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira

==============
KATIKA PICHA:

Shinyanga2.jpg

Shinyanga.jpg

Shinyanga1.jpg

SlaakuhutubiaSHY.jpg
 
Nimeongea na jamaa zangu wa Ibinzamata ananiambia kila kitu kimesimama! CHADEMA oyeeeeeeeeeeeeeeee
 
hongereni sn mh REGIA.
Tuko nyuma yenu na tunafarijika sn nj updates zako.
Keep us in4med!
 
Asante Regia,

mmeshaimarisha kitengo chenu cha mawasiliano kwa umma? Au wewe ndiye mkuu wa hicho kitengo?
 
Aksante REgia! lakini vipi kufungua matawi? Mungu awatie nguvu!

pipoooozzzzzzzzzzzzz!
 
Safi sana Mh. Regia tunaomba uturushie picha tufaidi matunda ya peoples poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer

Wabeja mayu muheshimiwa
 
WanaJF.

CHADEMA inaendelea na Maandamano Kanda ya Ziwa na leo tuko Mkoa wa Shinyanga.Maandamano ndio yameanza na watu ni wengi mno.Barabara zimefunga msafara unaenda kwa taabu sana.Karibu Pikipiki na Tax zote za Mjini hapa zipo kwenye maandamano kuelekea Uwanja wa Lubaga. Hakika mambo ni moto.

Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke

Kutoka kwenye Maandamano Shinyanga

Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira

Thanx Hon. Shadow Minister. Ndiyo mazoezi ya kututia imani tuwaamini na kutushirikisha kwenye uongozi wa nchi kupitia CDM.
 
Regia tunawakubali, tunasubiri ya Kumngoa JK Ikulu.

Vipi Mbona MAtawi hayafunguliwi? Ni Muhimu tuimarishe mtandao mapema, hakuna kurudi Nyuma hadi kieleweke!
 
safi sana....sijui kama mugumu yuko huko ili atuhabarishe maana da regia huwa unaanzisha thread tu.........

picha tafadhali
 
mzuka! Cdm jembe la ukweli!

tuna ukubali moto wa chadema na asante kwa kutupa update information is power. Tunaamini chadema ni mkombozi wa haya yafutayo

1. Kwa kasi ya chadema -katiba mpya -must
2. Kwa kasi ya chadema vita ya ufisadi itakua na kuwaadibisha mafisadi
3. Kwa kasi ya chadema uoga wa kuhoji utapungua,
4. Kwa kasi ya chadema tutahimiza makazi bora
5. Kwa kasi ya chadema uongozi uchwala utang'oka
6. Kwa kasi ya chadema afya bora itapatikana
7. Kwa kasi ya chadema mikopo elimu ya juu itakuwa ya wachuo wote
8.kw kasi ya chdema kilimo kitakuwa chenye tija
10. Kwa kasi ya chadema kima cha chini 400,000/=
11. Kwa kasi ya chadema mifuko ya jamii kuwatumikia wanachama sio mafisadi
12. Kwa kasi ya chadema uhuru na amani ya kweli vitapatikana.
 
Back
Top Bottom