Picha: AMIRIJESHI MKUU, RAIS JAKAYA KIKWETE AMWAPISHA MKUU MPYA WA JESHI LA POLISI TANZANIA LEO

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=2][/h]
Posted by Issa Hwteki on 10:55

Tuesday, December 31, 2013

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Inspekta Generali mpya wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Ernest Mangu katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam, leo jioni

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpatia nyenzo za kazi Naibu Inspekta Generali wa Polisi (IGP) Abdulrahman Kaniki baada ya kumwapisha katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam, leo jioni

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali na Katibu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika picha ya pamoja na Inspekta Generali mpya wa Polisi (IGP) Ernest Mangu na Naibu IGP Abdulrahman Kaniki katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo jioni

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dk. Mohamed Ghalib Bilali, Mawaziri na Katibu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika picha ya pamoja na Inspekta Generali mpya wa Polisi (IGP) Ernest Mangu na Naibu IGP Abdulrahman Kaniki katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam leo jioni.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na IGP mpya Ernest Mangu, Naibu Inspekta Generali wa Polisi (IGP) Abdulrahman Kaniki pamoja na IGP mstaafu Saidi Mwema, katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam, leo jioni.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na IGP mpya Ernest Mangu, Naibu Inspekta Generali wa Polisi (IGP) Abdulrahman Kaniki. Picha na Ikulu

Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook

Categories: SIASA
 
Huyu Mkuu wa POLISI Kapanda CHEO KIPOLISI au KIDINI ?

Kwasababu tumeanza tabia za kupokezana VYEO kama vile DINI ndio ELIMU inayotufaa kutupatia HIZO AJIRA FINYU...
 
Madhara ya gongo haya.
 
Sasa kazi kazi tu mangu bonge la kiongozi ataanzia alipoishia mwema.
 
Madhara ya gongo haya.

Hatukuwa na HAYO MARADHI ya GONGO; Sasa LAZIMA iwe CHANNEL... MKUU wa POLISI --- MSAIDIZI UMEONA JINA...

JESHINI UZURI Hakuna UPUUZI HUO... Unywe GONGO Mpaka Uchoke...
 
Huyo Naibu IGP Hakika amepanda cheo sababu ya Dini yake na si sababu ya utendaji kazi wake.

Namchukia mtu anaye teua mtu kwa kufuata Dini yake au anaye angalia mlingano wa Dini

huyo ni mdini tu vyovyote itakavyokuwa. Hicho cheo kimeundwa sababu ya udini tu,JK ilimuuma sana kumteua mkristu

hadi kuamua kuanzisha cheo kipya. Kwa kweli huyu baba tunatamani tu 2015 ifike mapema aondoke zake na udini wake.
 
Huyu Mkuu wa POLISI Kapanda CHEO KIPOLISI au KIDINI ?

Kwasababu tumeanza tabia za kupokezana VYEO kama vile DINI ndio ELIMU inayotufaa kutupatia HIZO AJIRA FINYU...
Wewe akili zako ni fungi sana, we unadhani wanateliwa toka wapi?
 
nahofia utendaji wa jeshi hili maana wameshaanza kubalance dini humo
 
Wewe akili zako ni fungi sana, we unadhani wanateliwa toka wapi?

Kama kweli Ungekuwa Unafuatilia VYEO... Wenye VYEO vinavyotakiwa kuwa WAKUU wa POLISI hawakuchaguliwa UNAJUA HIYO????

Hawa wawili wamebebeshwa au kurushwa VYEO ili kushika hayo MADARAKA; Lakini SIDHANI JESHINI wangeweza kufanya MCHEZO HUO

Kama kweli Unaipenda NCHI yake -- fuatilia Masuala yake ki-undani basi? kuliko kubeba ya juu juu kama CREAM na hivyo kupotoshwa na kuanza kufyatuka na kusambaza habari zisizo na ukweli...

BE REAL; BE EDUCATIVE... Hakikisha Unajua what's going on in your country... HAPO TUTAKUWA na PEACE & HARMONY...
 
Huyo Naibu IGP Hakika amepanda cheo sababu ya Dini yake na si sababu ya utendaji kazi wake.

Namchukia mtu anaye teua mtu kwa kufuata Dini yake au anaye angalia mlingano wa Dini

huyo ni mdini tu vyovyote itakavyokuwa. Hicho cheo kimeundwa sababu ya udini tu,JK ilimuuma sana kumteua mkristu

hadi kuamua kuanzisha cheo kipya. Kwa kweli huyu baba tunatamani tu 2015 ifike mapema aondoke zake na udini wake.

Tumia ubongo kufikiri, hiyo nafasi hajaiweka Kikwete, huo ni muundo mpya wa jeshi la polisi, uwe mfuatiliaji wa mambo muhimu si kusikiliza ubongo wa fureva muda wote mkuu!
 
Ufafanuzi tafadhali. Ni kwa nini hawa polisi wapo kwenye magwanda ya rangi ya bluu tofauti na rangi ya polisi tuliyozoea. Mbona wote wamevaa gloves tena nyeupe na wanashikana mkono na rais wakiwa na hizo gloves na pia wamebeba majambia viunoni mwao. Je kuna maana yoyote ktk yote hayo. Naomba kuelimishwa
 
Kama kweli Ungekuwa Unafuatilia VYEO... Wenye VYEO vinavyotakiwa kuwa WAKUU wa POLISI hawakuchaguliwa UNAJUA HIYO????

Hawa wawili wamebebeshwa au kurushwa VYEO ili kushika hayo MADARAKA; Lakini SIDHANI JESHINI wangeweza kufanya MCHEZO HUO

Kama kweli Unaipenda NCHI yake -- fuatilia Masuala yake ki-undani basi? kuliko kubeba ya juu juu kama CREAM na hivyo kupotoshwa na kuanza kufyatuka na kusambaza habari zisizo na ukweli...

BE REAL; BE EDUCATIVE... Hakikisha Unajua what's going on in your country... HAPO TUTAKUWA na PEACE & HARMONY...

Km wewe ni mfuatiliji wa mambo ya muhimu utakuwa unaelewa hakuna hata mara 1 aliteuliwa CP kuwa IGP isipokuwa ma SACP au ACP tu ndio huteuliwa kuwa ma IGP
KUWA GT BADALA YA KUKURUPUKA MKUU.
 
Huyo Naibu IGP Hakika amepanda cheo sababu ya Dini yake na si sababu ya utendaji kazi wake.

Namchukia mtu anaye teua mtu kwa kufuata Dini yake au anaye angalia mlingano wa Dini

huyo ni mdini tu vyovyote itakavyokuwa. Hicho cheo kimeundwa sababu ya udini tu,JK ilimuuma sana kumteua mkristu

hadi kuamua kuanzisha cheo kipya. Kwa kweli huyu baba tunatamani tu 2015 ifike mapema aondoke zake na udini wake.

Wewe ndiye Mdini unayeangalia Uteuzi wa Rais katika mtazamo wa Dini badala ya uwezo wa mtu kuongoza.

Badilika kwani utaangamiza Tanganyika kwa Udini.
 
Ufafanuzi tafadhali. Ni kwa nini hawa polisi wapo kwenye magwanda ya rangi ya bluu tofauti na rangi ya polisi tuliyozoea. Mbona wote wamevaa gloves tena nyeupe na wanashikana mkono na rais wakiwa na hizo gloves na pia wamebeba majambia viunoni mwao. Je kuna maana yoyote ktk yote hayo. Naomba kuelimishwa
kwa uelewa wangu hayo mavazi ya blue ni ceremonial dress ya jeshi la polisi!
hata wanajeshi wanakuwaga na sare za kazi na kwenye matukio ya sherehe!
 
Asante kwa ufafanuzi wa rangi ya mavazi walovaa makamanda. Vipi gloves, manake nimeona kwenye picha wanapeana mkono na Amri jeshi mkuu ili hali yeye hajavaa gloves. Vipi na hizo kitu (jambia) zilizoko kiunoni
 
Huyo Naibu IGP Hakika amepanda cheo sababu ya Dini yake na si sababu ya utendaji kazi wake.

Namchukia mtu anaye teua mtu kwa kufuata Dini yake au anaye angalia mlingano wa Dini

huyo ni mdini tu vyovyote itakavyokuwa. Hicho cheo kimeundwa sababu ya udini tu,JK ilimuuma sana kumteua mkristu

hadi kuamua kuanzisha cheo kipya. Kwa kweli huyu baba tunatamani tu 2015 ifike mapema aondoke zake na udini wake.

Nadharia kama hizi zisizo na chembe ya walau Ushahidi dhaifu ndio inayoliangamiza Taifa. TRA,PCCB na DPP wanaelewa Weledi na Ujuzi wa Mhadhiri huyu Mwandamizi wa Vyuo vya Jeshi la Polisi hasa katika Tasnia ya Sheria ya Jinai. Kumsakama mtu kwa sababu ya Jina lake badala ya Ujuzi au bila ya kumfahamu kwa undani ni Mbaya sana sio kwa Mustakbali wa mtu mwenyewe bali kwa Taifa kwa Ujumla. Tujifunze kuepuka Dhambi hii
 
Kama kweli Ungekuwa Unafuatilia VYEO... Wenye VYEO vinavyotakiwa kuwa WAKUU wa POLISI hawakuchaguliwa UNAJUA HIYO????

Hawa wawili wamebebeshwa au kurushwa VYEO ili kushika hayo MADARAKA; Lakini SIDHANI JESHINI wangeweza kufanya MCHEZO HUO

Kama kweli Unaipenda NCHI yake -- fuatilia Masuala yake ki-undani basi? kuliko kubeba ya juu juu kama CREAM na hivyo kupotoshwa na kuanza kufyatuka na kusambaza habari zisizo na ukweli...

BE REAL; BE EDUCATIVE... Hakikisha Unajua what's going on in your country... HAPO TUTAKUWA na PEACE & HARMONY...

Kajifunze uelewe kabla ya kujadili jambo usilo na historia nalo
Harun Mahundi aliteuliwa kuwa IGP akiwa na Cheo gani?, Omar Mahita alichaguliwa kuwa IGP akiwa RPC K,njaro na akiwa na cheo kidogo kuliko cha hawa wa Sasa, Saed Mwema alichaguliwa kuwa IGP akiwa na Cheo kidogo (ACP) kuliko cha hata Ma RPC wengi wa sasa kali zaidi Adadi Rajabu wakat wa Mkapa alichaguliwa kuwa Mkuu wa Upelelezi ( DCI) AKIWA NA CHEO CHA SP ambacho kwa sasa unaweza labda kuwa Mkuu wa kituo.
 
Back
Top Bottom