Philip Mulugo, naibu waziri wa elimu wa Tanzania anasubiri nini ofisini?

nafikiri kuna haja ya watanzania kudai maandamano kwa mambo yasiyo kubalika katika jamiii hata waziri
mwenyewe haoni aibu?
 
Kuna watu wamesahau kwamba alipokuwa southern highland alikuwa anaitwa dick mulungu. Kwanini from hamim agustino to dick mulungu? Why from dick mulungu to philipo mulugo? Ni namna gani mtu anabadili majina mara tatu? Ni kawaida kwa mtu kurudia jina lake tukiwa sekondari tena kwa kuapa mahakamani. Hii hutokea kama alinunua jina la mtu. Hii nina uhakika nayo kwani kuna jamaa nilisoma naye o level alibadili jina na kurudia la kwake kutokana na lile alilotumia kukariri darasa la saba kuwa na mgogoro. Sasa huyu imetokea akiwa kazini, inakuwaje? Mara tatu?

Mkuu hicho ni kitu kipya kabisa,Naona tunaelekea kwenye ukweli na mwishowe tutafanikiwa kumuondoa kabisa huyu jamaa kwenye ofisi ya umma kwa ufisadi mkubwa wa elimu alioufanya,Dick Mulungu ni jina jipya,Asante kwa kutunga mkono mkuu
 
ndugu zangu hivi kweli hatuna majukumu ya kufanya? mbona basi tunatumia vibaya kodi za wananchi wetu bila huruma, kwa kujadili watu kutwa nzima?
mijadala ya namna hii haipaswi kupewa nafasi jamani, mods please, hawa watu wakiruhusiwa kuendelea hivi, watasababisha uvunjifu wa amani yetu.

Mkuu nia yetu siyo mbaya,Wala hatuna tatizo na wewe,wala hatuhitaji uwaziri,Tunachotaka ni kuokoa kodi ya watanzania inayokwenda mahali pasipostahili,Sisi ni sehemu tu ya watanzania wengine wasioweza kusema,wasio na uwezo wa kutumia internet inabidi tuwasemee,Tunakuomba kwa nia njema jibu hoja inayoelekezwa kwako kama inavyotakiwa,kuendelea kukaa kimya ni matumizi mabaya ya kodi ya watanzania,vipi kuhusu haya majina? Hamim Augustino,Dick Mulungu,then Philip Mulugo? je nini kilikukuta mkuu?
 
Mbona mmemsakama sana huyu bwana mulugo. Mwacheni afanye kazi yake ya naibu waziri. Kila siku, mulugo, mulugo, mulugo!!! khaa!! Hakuna mada nyingine? mwacheni mtoto wa watu aishi kwa raha zake.
 
kuna kichefuchefu hapa anataka kutuambia kuwa kubadili jina ni jambo la kawaida, LA HASHA, si jambo la kawaida kwa kuwa jina ni identify, huwezi kuamua mtu unaitwa Hamimu kesho ukaamua utaitwa Philipo, na kama kuna sababu iliyokulazimisha kama kubadili dini ama uraia, kwa nini anakigugumizi? kuhusu ubovu wa elimu yake hatukuambiwa na sugu, alituonyesha mwenyewe, maana the higher the monkey climbs the more it shows its 'thing' kapanda mti akitoa presentation tumeona, mtatufumba macho? too late, tatizo ni pale tulipokubali walifungie gazeti letu la mwanahalisi, huu ukweli wote ungewekwa wazi, sasa mnategemea wakina msaki, kibanda na bagenda waandike hayo?
Na sasa Msaki kafaninikwa kumtoa Makunga oneni mwananchi lilivyogeuka kipeperushi, hivi habari ya maoni ya anachotaka Beatrice shelukindo inawezaje kuwa headline? Tido Mhando haoni hicho?

Huyo jamaa anataka kutuaminisha upumbavu,watanzania wa leo hatuwezi kukubali ni lazima ukweli ujulikane na watu wawajibike!
 
Kama alisomeshwa na Kanisa sidhani kama angeweza kununua jina la mtu na kwa ameshatoka sasa ni namna ya wewe na mimi tutoke vipi,....waziri chapa kazi bhana!! Achana na hizi longo longo, kuna jamaa aliwataja watu kwa majina kuwa wanavyeti feki na jamaa wakatishia kumshitaka wameishia wapi...?
 
Mbona mmemsakama sana huyu bwana mulugo. Mwacheni afanye kazi yake ya naibu waziri. Kila siku, mulugo, mulugo, mulugo!!! khaa!! Hakuna mada nyingine? mwacheni mtoto wa watu aishi kwa raha zake.

Kwanini sasa yeye asiweke mambo bayana na watu wakaachana naye. Wanaomtetea wote mko kama yeye vihiyo watu.

Mnapo ruhusu mtu wa aina hii asimamaie elimu mnategemea nini hapo baaadae?
 
Hii Nchi ni ya wapuuzi kwa ajili ya Wapuuzi na inaendeshwa Kipuuzi nchi ya watu makini haiwezi kukubali upuuzi kama huu
 
1. tunataka tuonyeshwe kaburi la "Philip Mulugo".....inayedaiwa alikufa na ndio jina lake likachukuliwa na "Dick Mulugu"
2. tunataka kujua sababu za "Hamim Augustino" (proved kusoma Mbeya Day na Songea Boys) kubadili jina lake zaidi ya mara moja

Wana JF
....tumeshuhudia UKILAZA wa Naibu Waziri wetu wa Elimu kule South Africa....its a FACT!.....sasa na sisi tusije kuingia mtegoni wa kutokuwa na facts kuhusu elimu yake......tusije mpa nafasi ya kuonyesha wana JF ni wazandiki.......si mumemuona anavyowapiga "Mkwara" JF Mods........anasema hivi




eti hizi habari zitaleta uvunjifu wa amani!.......lol

Watanznia tusikubali tena kuwa wapumbavu lazima tuhoji na mwisho ukweli ujulikane!
 
Hii Nchi ni ya wapuuzi kwa ajili ya Wapuuzi na inaendeshwa Kipuuzi nchi ya watu makini haiwezi kukubali upuuzi kama huu

Wewe na mimi ndio watu wa kuondoa upuuzi huu!!!!!!!!!!!!!
 
Ina maana humu JF hakuna members wanaofanya kazi baraza la mitihani, ofisi ya elimu Mbeya au Shuleni mbeya sec wtupe data kamili. mbona wamekaa kimya tu?
 
Kumbe sensa ya watanzania siyo ya uhakika kama Mulugo ametumia majina mawili ina maana kama wapo wengi wa aina hiyo tanzania ni milioni 43 kamili ikiwaondoa wenye majina ya kujirudia rudia, wengine wanawafanya marehemu waendelee kuishi kwa staili hii, inabidi ashitakiwe kwa kosa la kusababisha uesabiwaji kutoa majibu yasiyo sahii.
 
Kumbe sensa ya watanzania siyo ya uhakika kama Mulugo ametumia majina mawili ina maana kama wapo wengi wa aina hiyo tanzania ni milioni 43 kamili ikiwaondoa wenye majina ya kujirudia rudia, wengine wanawafanya marehemu waendelee kuishi kwa staili hii, inabidi ashitakiwe kwa kosa la kusababisha uesabiwaji kutoa majibu yasiyo sahii.

haahaahaaahaaaaaaaa
 
Chadema imesema mwaka huu ni wakuchukua hatua. Wamweke kwenye listi ya kuchukuliwa hatua
 
ni upepo tu utapita Amimu, sa ivi wameshasahau, wanajadili gesi na kifo cha Sajuki
 
Chadema imesema mwaka huu ni wakuchukua hatua. Wamweke kwenye listi ya kuchukuliwa hatua

Asipojieleza atachukuliwa hatua atueleze kwa nini katumia majina matatu tofauti?
1. Hamim Augustino-mbeya secondary na Songea boys,

2. Mwl Dick Mulungu-Southern highland secondary.

3.Philip Mulugo-Open University.
Watanzania tumechoka kupuuzwa na hatutaki kupuuzwa tena!
 
Back
Top Bottom