mang'ang'a
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 828
- 379
why six months and not this week?
ni muda unaowachukua wa TZ kusahau. yako mambo makubwa mengi ambayo ingekuwa ni nchi nyingine uongozi ungekuwa umebadilishwa lakini wapi! ikipita miezi 6 tunaendelea kama kawa