Philip Mangula: Wale wote walioshinda kwa Rushwa watashughulikiwa ndani ya Miezi 6 kuanzia sasa

Musishangae MAGAMBA bado wanahic watanzania niwalewale wa enzi za uhuru mwisho wao ulafka 2.
 
Msishangae MAGAMBA bado wanahic watanzania niwalewale wa enzi za uhuru mwisho wao ulafka 2.
 
Huwa wanakuja na nia ya dhati kabisa kabisa, halafu wakikaa dakika tano wanashtuka duuu... mbona bosi mwenyewe is on a different page? Wanaishiwa nguvu!
 
Ngoja tumsubiri, manake wenzake walitoa siku tisini lakini itafika hata miaka kumi bila lolote!
 
Mara ya kwanza ilikuwa kuvua gamba wakajiwekea muda way siku 90, wakafeli, sasa hivi wameibuka na
Vua gamba siku 90 kata joka ndimi mbili siku 90 = siku 180 = miezi 6
 
siku hizi ccm inawaropokaji na si waongeaji na waongoza nchi. hawa wazee hawana jipya nje ya hapo wataonekana hata usafi walio nao utapotea maana wanataka kutakasisha kaniki ya ccm huku wa kiwa na jagi moja la maji. Kiukweli ccm kwa style hii watawaacha hawa wazee wafe kabla ya mida yao.
 
Huyu mzee angewashugulikia kwanza wale waliomtaka auze viazi vyake wakati ametemwa, kwa kutumia kipimo cha Lumbesa!
 
wana JF

napenda kuwauliza wachambuzi wa mambo ya siasa, je hawa viongozi wapya wa ngazi za juu CCM Ndugu Philip Mangula na Kinana kwa jinsi ambavyo mnawafahamu na jinsi hali ilivyo ndani ya CCM na taifa hili kwa ujumla je ni kweli wataweza kupigana na Rushwa na ufisadi kama walivyoahidi au ni maneno tu. watu kama EL na wafuasi wake watakuwa na nguvu za kuwazima watu hawa?

naombeni msaada wenu juu ya hili maana kidogo linanitatiza
 
Tata huwa namchanganya na Kinana si unajua vyeo vipya tutazoea tuu with time
kinana katibu
manhula vice chair bara
 
wananchi embu tupime matokeo yake maanake huku hanang waligawa hata pikipiki kipindi cha kampeni yaa necn trekta zilitolewa kama mkopo kwa njia ya mizengwe embu tuone kaama hata hapa hanang atawashughulikia ipasavyo au anafanya usanii kama kama kawida yao mhe.sumaye aliangushwa kwa kutumia rushwa huyo mkt. atakuwa na kazi ngumu sana jaribu sasa tuone hiyo giya utakayo tumia sasa.watanzania tuwe macho tutona kama hatatumiaa upendeleo na aliyeonekana kwenye chama kutumia rushwa na kwenye uongozi wowote hafai afutiliwe mbali kabisa
 
Unatuumiza macho, ivi kama mleta uzi angeandika mwandiko huu, ungeweza kutoa comments
 
Nina wasiwasi sana na tamko alilitoa mangula jana kwa wote walioingia kwa rushwa watatolewa kwenye chama,namkumbusha kuwa hao waliingia kwarushwa alishindwa kuwafukuza tangu mwaka 2005 yeye alikuwa katibu mkuu,mtandao wa rostam azizi,lowasa,na kikwete ulitengezwa tangu 2002,walianza kutengeza makundi,kuchafuana ,a n a rushwa ilikuwa waziwazi ili kumueka kikwete madarakani,mangula hakuchukuwa hatua zozote,je leo atawaweza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom