PhD. ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, ni sahihi?

WanaJF,
Sidhani kama kuna sababu ya kujibizana. Hoja imejibiwa kwa kina. Wahusika wangekuwa na nia njema wangeandikia vyuo husika na kuomba Prospectus ya vyuo hivyo. Nashauri msihangaike nao na kupoteza muda muhimu kwa ajili ya ajenda za Taifa letu.. Wanayoyasema yaliwaponza Karatu 1995 wakiamini Dr Slaa hajui jukwaa. Hawakujua jambo dogo tu kuwa "Oratory" ni somo katika mfumo wa elimu wa Kanisa Katoliki. Tuliwatandika na tutaendelea kuwatandika. Bado hatujawaambia kuhusu Epistemology, Cosmology, Logic, Philosophy na branches zake zote.. Kama ritz na wenzake inawaburudisha waachieni tu waandike wapendavyo.
Mzee Slaa,
Nilitaka kukuongezea LIKE ya pili lakini naona mods hawajaweka uwezo huo. Big Thank You!
 
Mkuu..mbona unaleta story za Karatu za miaka ya tisini? Sasa hivi tupo karne nyingine! Kwa sasa tupe habari za kugaragazwa kwako na JK kwenye uchaguzi uliopita! Ulifikiri Tanzania nzima ni kama Karatu?

Halafu mkuu unajidhalilisha, siamini kama na utu uzima wako unaweza kujibu thread kwa kuanza kutaja contents za kozi yako! Na sisi tulkianza kumention tuliyosoma hapa patatosha? Still utaonekana upo shallow.

Ni muhimu pia ukawa muwazi na kutuambia sababu ya kuacha upadre! Ulifukuzwa au uliamua mwenyewe kuacha? Bado wewe ni muumini wa kanisa katoliki? Kama ndiyo, kwanini ulishindwana nao tena ukiwa ngazi ya upadre?
 
Inatambulika kote duniani ingekuwa imeshafutwa,labda nikuelekeza ili usije ukachekwa,Phd ni research wala si mambo ya degree wala masters,I have done masters of MBA in HRM kunawatu hawakusoma degree walikuwa na diploma na experience ya kazi na vyeti vya mitihani ya bodi kama ya mahesabu au procurement na waliruhusiwa na wamegraduate!

"Masters of MBA" ndo nini? Naomba kirefu cha 'M' hapo kwenye MBA labda nitakuelewa.
 
Lakini mimi nadhani kuuliza si ujinga jamani, hebu na mimi mnijuze kwahiyo mtu kama pengo is like a prof kwa elimu yakanisa? na je kwani Dr. si anaweza sema thesis yake labda ilikuwaje? au it is a qualification kwamba ukifika level fulani wewe Dr. haya mambo ni vizuri ku clear mapema kabla hamjapewa nchi maana you stand a chance na kwa sasa ni 50/50.
 
wanabodi.

Ili kupata phd (doctor of philosophy) lazima huwe na ba (bachelor of arts) na ma (master of arts).

Nimepitia cv ya katibu mkuu wa chadema wilbroad slaa, nimeona kapata phd yake mwaka 1977 st. Urban university rome italy.

Kwenye cv yake hukuna sehemu yoyote kuwa ana ba ama ma.

Kuna njia nyingine ya kupata phd bila kuwa na ma na ba?

njia si ndo kama hyo aliyetumia padri slaa
 
Inatambulika kote duniani ingekuwa imeshafutwa,labda nikuelekeza ili usije ukachekwa,Phd ni research wala si mambo ya degree wala masters,I have done masters of MBA in HRM kunawatu hawakusoma degree walikuwa na diploma na experience ya kazi na vyeti vya mitihani ya bodi kama ya mahesabu au procurement na waliruhusiwa na wamegraduate!

Masters ya MBA! Napata taabu kuamini kama ni kwl umefanya hiyo ki2 cz hata kirefu cha MBA hujui.. Hao uliowaelezea wenye diploma, wamequalify kufanya hiyo MBA cz wana professional qualifications i.e CPA(T), CPSP, CPB, ACCA.. Ukiwa na such qualifications huitaji diploma wala degree kufanya MBA or any other business related masters.. 2kirudi kwny hoja yenyewe ya mtoa maada bado hamjatoa majibu ya kueleweka, kama hamjui semeni 2.
 
Mzee Slaa,
Nilitaka kukuongezea LIKE ya pili lakini naona mods hawajaweka uwezo huo. Big Thank You!

Mapdre wana kale katabia (source scotland priest scandal) kwa hiyo usijipendekeze sana ataku...
 
Ritz upeo wako ni mdogo sana hutaki kujibu hoja zangu inaonyesha ni kiasi gani vijana wa CCM msivyokuwa na uelewa mmekaa kukalili tu,I advice you urudi shule tena ukasome!

bora huyo wa kurudi shule ila ww unahitaji kwenda shule cz t seems like hujaenda shule kabisa, kama unaongea shudu thn u consider t 2 b madini dat means hujaenda shule kabisa.
 
Mkuu..mbona unaleta story za Karatu za miaka ya tisini? Sasa hivi tupo karne nyingine! Kwa sasa tupe habari za kugaragazwa kwako na JK kwenye uchaguzi uliopita! Ulifikiri Tanzania nzima ni kama Karatu?

Halafu mkuu unajidhalilisha, siamini kama na utu uzima wako unaweza kujibu thread kwa kuanza kutaja contents za kozi yako! Na sisi tulkianza kumention tuliyosoma hapa patatosha? Still utaonekana upo shallow.

Ni muhimu pia ukawa muwazi na kutuambia sababu ya kuacha upadre! Ulifukuzwa au uliamua mwenyewe kuacha? Bado wewe ni muumini wa kanisa katoliki? Kama ndiyo, kwanini ulishindwana nao tena ukiwa ngazi ya upadre?

We mwandishi wa habari tena kanjaja utataja nini hasa ulichoma cha kutisha.
 
Hii ndo kasoro, bado kunamijitu imepita katika majengo ya mivyuo bongo na still hawajui falsafa ni nini? Teolojia ni nini ? Normal issues kuchambua hawawezi? Watazame wakiwa katika nyuso za tv, matatizo
 
Inatambulika kote duniani ingekuwa imeshafutwa,labda nikuelekeza ili usije ukachekwa,Phd ni research wala si mambo ya degree wala masters,I have done masters of MBA in HRM kunawatu hawakusoma degree walikuwa na diploma na experience ya kazi na vyeti vya mitihani ya bodi kama ya mahesabu au procurement na waliruhusiwa na wamegraduate!

Mkuu, naona kila unapojitahidi kujibu ndio unadhidi kuonyesha umbumbu wako Aisee!

Hivi hunajua ulichokiandika? Ebu tuanze ni ili Masters of MBA ni nini fafanua.
 
Ritz upeo wako ni mdogo sana hutaki kujibu hoja zangu inaonyesha ni kiasi gani vijana wa CCM msivyokuwa na uelewa mmekaa kukalili tu,I advice you urudi shule tena ukasome!

Hoja gani sitaki kujibu? Mie nimeuliza PhD ya Slaa ni sahihi wewe badala ya kunijibu unaelezea PhD ya Mzee wako ya nini sisi PhD tunaoijadili ya Slaa.

Ebu tufahamishe PhD ya Slaa ni ya aina gani.
 
You dont need a masters degree to do a PhD, especially in Europe kwani degree ya kwanza combined with work experience in an area unayotaka kufanya PhD is sufficient. PhD ni utafiti tu, sio kitu kingine. Ila in the US, lazima uwe na Masters kwasababu PhD in the US system hazikufanyi mwanafunzi uwe independent kama za europe. In the US, mwanafunzi wa PhD anachukua madarasa kama vile anavyochukua madarasa under grad, au Masters student, then mwaka wa mwisho ndio unaandika research.

In Europe, unachukua madarasa mawili tu mwaka wa kwanza nayo ni research methodology (quantitative) and then qualitative research methodologies, na baada ya hapo lazima uingine porini kuleta original research, unakaa huko even for a year. Ukirudi chuo, for the next year or year and a half, ni unaandika chapters na kufanya consultations na your supervisors. PhD za europe ngumu sana, sio kama za US.

Dr. Slaa lazima atakuwa na degree ya kwanza, then akaenda kuchukua hiyo PhD. Its possible kabisa hana masters. Inasemekana PhD ya Dr. Slaa ni ya theology.
 
  • Thanks
Reactions: mka
WanaJF,
Sidhani kama kuna sababu ya kujibizana. Hoja imejibiwa kwa kina. Wahusika wangekuwa na nia njema wangeandikia vyuo husika na kuomba Prospectus ya vyuo hivyo. Nashauri msihangaike nao na kupoteza muda muhimu kwa ajili ya ajenda za Taifa letu.. Wanayoyasema yaliwaponza Karatu 1995 wakiamini Dr Slaa hajui jukwaa. Hawakujua jambo dogo tu kuwa "Oratory" ni somo katika mfumo wa elimu wa Kanisa Katoliki. Tuliwatandika na tutaendelea kuwatandika. Bado hatujawaambia kuhusu Epistemology, Cosmology, Logic, Philosophy na branches zake zote.. Kama ritz na wenzake inawaburudisha waachieni tu waandike wapendavyo.

Slaa, unaposema eti" sidhani kama kuna sababu ya kujibizana" kwa hiyo hutaki watu tujadili hiyo PhD yako!

Watu wanajadili PhD za viongozi ambayo wamekubali kuwatumikia wananchi kwa hiyo usiwafunge watu midomo waache watu wajadili.

Hakuna kosa Watanzania kujua PhD yako ni ya mambo ya Kanisa tu au nje ya kuta za Kanisa hakuna PhD umeamua kuwa mwanasiasa kuwa mvumilivu mkuu.
 
Wanabodi.

Ili kupata PhD (Doctor of Philosophy) lazima huwe na BA (Bachelor of Arts) na MA (Master of Arts).

Nimepitia CV ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, nimeona kapata PhD yake mwaka 1977 St. Urban University Rome Italy.

Kwenye CV yake hukuna sehemu yoyote kuwa ana BA ama MA.

Kuna njia nyingine ya kupata PhD bila kuwa na MA na BA?

kwani lazima kusoma BA, MA? Hakuna vitivo vingine kama Bsc, Msc, Bcom =, Mcom na nyingine nyingi? unataka wote wasome arts bachelor, arts master? kuna course nyingi duniani
 
Hii kitu ilishajibiwa humu JF, soma hii quote:
"@Kinyasu, ndio maana nilisema kwa mtu kutaka kuhoji elimu ya Dr Slaa ni vema ajue MFUMO wa elimu ndani ya kanisa katoliki. Kwa majibu yako nahisi wewe binafsi huelewi mfumo wa elimu unaotumiwa na kanisa katoliki. PhD ya Slaa siyo ya heshma, kaisotea ndugu yangu.

Sasa hapo kwenye red: Naomba ruhusa wanJF niweke majibu ya mdau mmoja toka wanabidii aliyotoa kuhusu elimu ya kanisa katoliki. Alikuwa anamjibu mdau mwingine aliyeonekana kuhoji elimu ya Dr Slaa bila kujua mfumo uliompa PhD. (sitotaja majina lakini na hakika huyu mdau wa wanabidii hatokasikira mimi kuweka mchango wake hapa). here we go...

Tukianza na Kipalapala, hapa mwanafunzi anasoma form 5 & 6 pamoja na masomo ya Theology na baada ya hapo huunganisha na degrii ya theology.

"Kipalapla kama ilivyo Institutions zote za Kanisa Katoliki (kwa level ya Philosophy na Theology) iiko affiliated na vyuo vikuu mbalimbali duniani kutoka nchi moja hadi nyingine.

Mfano, wanaosoma Zomba Theological College Malawi (Theology) na Kachebere Philosophical College (Philosophy) mpakani mwa Malawi na Zambia wanafuata marking scheme ya Chancellor College - University of Malawi. Kuna chuo kingine kiko Balaka Consorsium Philosophical College nadhani kiko affiliated na St Urban University, Rome.

Missionary Institute London (MIL) iko affiliated kwa Middlesex University (chuo cha serikali cha Uingereza) na Luvein University (Belgium). Wanaofuata mfumo wa Middlesex University kupata BA wanasoma miaka 3 na passmark yao ni 40%. Wanaofuata mfumo wa Luvein University kupata BA wanasoma miaka 4 na passmark yao ni 60%. Muhula unaanza Oktoba na kwisha Juni (miezi 8).

Mfumo wa kutoa final mark ni 1) class presentation na participation 2) essay writing 3) oral examination 4) defence of dissertation mbele ya internal & external examiners. Pia mtu anayepata first class, papers zake lazima ziwe marked na internal na external examiners na ajadiliwe kama anastahili first class degree na siyo tu kupata kwenye karatasi. Pia anayeshindwa, paper zake zinasahishiswa na examiners tofauti ili kuonesha kashindwa kweli au kama amepunjwa marks.

Kwa Tanzania, kwa sasa vyuo vyote kwa level ya Philosophy na Theology viko affiliated na St Urban University, Rome. Zamani, falsafa ilikuwa miaka 2 (sasa ni 3) na teolojia ilikuwa miaka 3 (sasa 4). Mtu akimaliza (Tanzania) alikuwa anapata certificate siyo kwa sababu masomo yalikuwa level ya chini ila kwa sababu maaskofu walikuwa hawajaridhia wahitimu wao kupata digrii licha ya kuwa walikuwa wanaombwa wanafunzi wapewe magamba kama ilivyokuwa kwenye vyuo vingine. Ilichukua muda kidogo.

Lakini kama mtu aliendelea na masomo ya juu walithamanisha masomo yale kwa chuo ambacho mtu anaenda kusoma maana content ya syllabus ya masomo ya falsafa na teolojia ni (universal) kwa vyuo vyote vya Kanisa Katoliki duniani tofauti ni kwa kila nchi wanaongeza mambo yanayohusu cultural understanding ya nchi husika including its legal system.

Uganda mtu akimaliza Jinja Philosophical College (Philosophy) anapata BA katika Philosophy. Akiendelea na Theology chuo kingine, anapata BA katika Theology na kuna vyuo vingine akimaliza Theology anapata MA. Inategemea chuo kina mfumo gani na kinafundisha nini - maana kuna baadhi ya masomo kama mtu hakuyafanya wakati wa philosophy atayafanya wakati wa theology.

Kwa baadhi ya vyuo, mtu mwenye BA ya Philosphy na BA ya Theology, akiendea na masomo ya juu 'specialisation', anaenda moja kwa moja kusoma PhD kulingana na vigezo walivyoweka (mfano, vyuo ambavyo vinafundisha Philosophy na Theology kwa pamoja). Kwa baadhi ya vyuo masomo haya yanatenganishwa - yaani, mwanafunzi anaamua ku'specialise' kwenye pure philosophy au pure theology. Na katika masomo yote mwanafunzi anafundishwa the secular view na religious view.

Maana ni hasa kumwezesha mwanafunzi kupata "solid and consistent knowledge of man, the world and God... The students should rely on that philosophical patrimony which is forever valid, but should also take account of modern philosophical studies, especially those which have greater influence in their own country, as well as recent progress in the sciences. Thus, by correctly understanding the modern mind, students will be prepared to enter into dialogue with their contemporaries." ( Vatican II, Training of Priests, Paragrapah No 15).

Kuna vyuo kama alikosoma Dr Slaa lecturers wote ni wa level ya profesa na kwenda kusoma huko mpaka uwe 'exceptional student' nadhani kama sikosei wanachukua wale tu wenye 'first class'.

Kitu kingine ninachoona kinampa wasiwasi (jina limehifadhiwa) ni pale anaposoma "Canon Law" au "Catholic Education" kwa kudhani padre anasoma tu biblia au mafundisho ya Kanisa. Mfano, Dr Slaa amespecialise katika Canon Law ambayo ndiyo mother of secular law na kusoma Canon Law ni lazima kuanza na how law developed na mpaka kuja kugawanyika into secular na religious laws.

Advantage ya Dr Slaa si tu kwamba ana'knoweldge' ya Canon Law lakini pia nini kinaitwa secular law na kwa nini - tofauti na similarities. Mfano, definitions of what is an irregurality, malice aforethought, the difference between legality and validity of an act, what is a valid marriage and a legal marriage, etc.

All Catholic Universities undertake secular studies mfano ni Catholic University of East Africa (CUEA), Kenya, ambako hata Waislamu wanasoma huko, St Augustine, Mwanza, Luvein University etc. kwa hiyo mtu akihitimu kwenye vyuo hivyo, huwa haangaliwi kuwa amesoma elimu ya dini bali kwamba ni mtaalamu katika taaluma fulani aliyoisomea.

Tofauti kwa mapadre ni kwamba mfumo wao wa mafunzo unachukua muda mrefu na wanajifunza mambo mengi - maana hadi kufikia upadre ni mpaka uwe walau umesoma miaka 10 baada ya Form VI". (mwisho wa kunukuu)"
https://www.jamiiforums.com/habari-...mkuu-wa-chadema-wilbroad-slaa-ni-sahihi-2.htm
 
A PhD is a PhD, iwe ya theology, chemistry, business, haijalishi, kwani PhD ni research, na zote hufuata methodology ambazo hazipishani sana, kwani again, PhD ni utafiti, sio kitu kingine. Na 50% of PhD ni methodology - examiners wanaangalia, je huyu kafuata the right methodologies kufikia majibu aliyokuwa anayatafuta? Vinginevyo in most cases, examiners care less on whether your findings will change the world or no. Thats not their interest. Any PhD candidate lazima asomee research methodology (quantitative and qualitative methods), na humo sometimes unaweza kukuta hata PhD students wa maths, theology, chemistry etc, wanachukua masomo hayo hayo ya methodology, and then later wanasambaa kwenda kufanya research za maeneo yao husika. Ndio maana mwisho wa siku, kwa mfano PhD holder wa theology anaweza kusoma utafiti wa PhD holder wa chemistry na akaelewa utafiti huo bila matatizo and vice versa holds.
 
You dont need a masters degree to do a PhD, especially in Europe kwani degree ya kwanza combined with work experience in an area unayotaka kufanya PhD is sufficient. PhD ni utafiti tu, sio kitu kingine. Ila in the US, lazima uwe na Masters kwasababu PhD in the US system hazikufanyi mwanafunzi uwe independent kama za europe. In the US, mwanafunzi wa PhD anachukua madarasa kama vile anavyochukua madarasa under grad, au Masters student, then mwaka wa mwisho ndio unaandika research.

In Europe, unachukua madarasa mawili tu mwaka wa kwanza nayo ni research methodology (quantitative) and then qualitative research methodologies, na baada ya hapo lazima uingine porini kuleta original research, unakaa huko even for a year. Ukirudi chuo, for the next year or year and a half, ni unaandika chapters na kufanya consultations na your supervisors. PhD za europe ngumu sana, sio kama za US.

Dr. Slaa lazima atakuwa na degree ya kwanza, then akaenda kuchukua hiyo PhD. Its possible kabisa hana masters. Inasemekana PhD ya Dr. Slaa ni ya theology.

Mkuu Mchambuzi.
Tunashukuru kwa ufafanuzi wako mzuri kwenye suala la PhD.

Lakini usilazimishe kuwa lazima Slaa atakuwa na degree ya kwanza ana yeye ana PhD tu.

Kwa nini watu humu JF hawataki tujadili mambo ya Chadema na ya viongozi wao?

Jukwaa la Siasa kuna watu wajadiliwa PhD zao hakuna wakupinga, ukihoji tu mambo ya Slaa na Chadema hutasikia mtu hanakuambia unanitafutia ban.
 
kwani lazima kusoma BA, MA? Hakuna vitivo vingine kama Bsc, Msc, Bcom =, Mcom na nyingine nyingi? unataka wote wasome arts bachelor, arts master? kuna course nyingi duniani

Mkuu, kwa hiyo PhD ya Slaa ni ya Kanisa tu?
 
Back
Top Bottom