PhD. ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, ni sahihi?

CV YA W.P Slaa
Source: Bunge Website

School: St. Thomas Aquinas University
Education: Advanced Diploma in Rural Development
Year:1980-1981
Level: Advance Diploma

School: TransWorld Tutorial College,
Education: London Certificate in Management
Year:1985
Level:CERTIFICATE

School: Kwermusl Primary School(Mbulu)
Education: Primary Education Year: 1958-1960

School: Daudi Primary School Level: Primary Education
Year: 1961

School: Karatu Primary School Level: Primary Education
Year: 1962-1965

School:Dung'unyi Seminary
Level: O-Level Education
Year:1966-1969

School:Itaga Seminary School Level: A-Level Education
Year: 1970-1971

School:Kibosho Seminary Level: Certificate in Philosophy
Year:1972-1973

School: St. Urban University
Education:phD (JCD) Law
Level: PhD
Year: 1977-1981

School: Kipalapala Seminary Education: Certificate in Theology
Level: Certificate
Year: 1974-1977

School:International Eye H. Centre
Level: Certificate in Eye Health
Year:1993
 
Tunajua hawezi kuja na "Published articles" related na PhD yake zaidi vijitabu vya kanisa katoliki kuhusu kanuni za kufanya ibada..

PhD is limited to church boarders; nje ya hapo ni kichefuchefu..hawezi kuandika na kupublish kitu cha maana kwenye journal trust me..

angekuwa ana uwezo huo aisee "angepaishiwa nafikiri mbiguni" na media

Mkuu hizo published articles in peer reviewed journals zitamsaidia nini mlima korosho kule Mtwara Vijijini?;mfugaji kule Kibakwe?;mkulima wa pamba kule Nyambiti?;mkulima ma matunda kule Lushoto na Korogwe?

Mzee hizo articles ni kwenye manufaa ya mwandishi na peers wake tu. Hivyo hata mtu awe nazo milioni,mtanzania mkulima na mfugaji ambae hana access nazo,hazina tija kwake.

Articles zenyewe wanazoandika PhD holders wa kitanzania ni za kulamba miguu wafadhili waliowezesha na kufadhili miradi na tafiti ambazo uwafanya waandike hizo articles. Hivyo zinakua na lengo la kufurahisha wafadhili ili waendelee kupata ufadhili pindi waombapo tena na ili articles zao zipate nafasi kwenye hizo journals.
 
[h=1]Doctor of Canon Law[/h]From Wikipedia, the free encyclopedia

Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor; J.C.D.) is the doctoral-level terminal degree in the studies of canon law of the Roman Catholic Church.
It may also be abbreviated I.C.D. or dr.iur.can. (Iuris Canonici Doctor), ICDr., D.C.L., D.Cnl., D.D.C., or D.Can.L. (Doctor of Canon Law). Doctor of both laws (i.e. canon and civil) are J.U.D. (Juris Utriusque Doctor), or U.J.D. (Utriusque Juris Doctor).
A doctorate in canon law normally requires at least two years of additional study and the development and defense of an original dissertationthat contributes to the development of canon law after having earned the degree Licentiate of Canon Law. Only pontifical universities and ecclesiastical faculties of canon law may grant the doctorate or licentiate in canon law.
The Licentiate of Canon Law is a three-year degree, the prerequisite for the study of which is normally the graduate level bachelor of sacred theology (S.T.B.), a master of divinity (M.Div.), a master of arts in Roman Catholic theology (M.A.), or a civil law degree (J.D. or LL.B.) and abachelor degree in canon law (J.C.B.) or its relative equivalent.
While not a civil law degree, the doctor of canon law is in some ways comparable to the Doctor of Juridical Science (J.S.D.) or doctor of laws(LL.D.) in terms of academic level of study as they are terminal academic degrees.
Members of the Supreme Tribunal of the Apostolic Signatura, Auditors of the Tribunal of the Roman Rota, judicial vicars, ecclesiastical judges, defenders of the bond, and promoters of justice, must possess either a doctorate or license in canon law. Either of the degrees is recommended for those who serve as vicar general or episcopal vicar in a diocese. Candidates for bishop must either possess the doctorate in canon law or the doctorate in sacred theology or be truly expert in one of those fields. Canonical advocates must possess the doctorate or be truly expert.
The Roman Church has the oldest continuously used homogenous legal system in the world. Following the Gregorian Reform's emphasis oncanon law, bishops formed cathedral schools to train the clergy in canon law. Consequently, many of the medieval universities of Europe founded faculties of canon law (e.g., Cambridge and Oxford). Since the Protestant Reformation, however, they became limited to those universities which retained Catholic faculties (e.g., Pontifical University of St. Thomas Aquinas (Angelicum), Gregorian University, Catholic University of Louvain, Faculty of Canon Law "S. Pio X" in Venice). Other Catholic universities with ecclesiastical faculties in canon law were subsequently given the ability to grant the degree (e.g., The Catholic University of America, University of Saint Paul). The University of Santo Tomas in Manila, Philippines, has been awarding the degree since 1734.

Ritz, Phd ya Dr Slaa sio sahihi kwako, umefurahi sasa :yawn:
 
kweli kabisa zipo jitihada za makusudi humu za ku shut down questioning kuhusu chadema na viongozi wake,ila vyama vingine poa.Chadema kuna matatizo sana,viongozi wake wengi wa juu ukiacha zitto kwenye suala la elimu wamekua ni watu flani wajanja wajanja tu wanechipachika pachika kwenye nafasi na kuwaaminisha wanachama wao kwamba wamesoma sana kumbe fix tu,yupo mmoja msemaaaaji kumbe hata degree hana

KIM KARDASH,
Mbona tumewazoea sana tu hawa Chadema-Kata..

Cha kuchekesha zaidi kuna tabia imejengeka humu JF eti ukijibu hoja za Chadema wanakushtaki kwa Mods kuwa unachafua hali ya hewa.

Halafu kuwa wazi mkuu JF ni jukwaa huru huyo kiongozi unaemsema ni Mbowe, kiwango chake cha elimu ni kidogo sana ni type ya kina Maji Marefu.
 
umeuliza maswali muhimu sana ambayo yalipaswa kuulizwa na watu wa chadema lakini naona bado wako katika zama za kudumisha fikra za mwenyekiti na katibu wake,ni dhambi kumhoji kiongozi.Katibu kuna mambo kuhusu maisha yake ya upadre anaficha sana sijui kwanini,mi nadhani sasa angefunguka tu ili tumjue sawasawa,ni hatari sana kuja kutawaliwa na mtu asiejulikana vizuri historia yake ya maisha kabla ya kuingia kwenye siasa,wanachadema hayo ndio mambo ya msingi yapaswa muyajue kabla ya kumpa mtu nafasi ya juu kama hiyo ya ukatibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani tanzania
Well said mkuu.
 
KIM KARDASH,
Mbona tumewazoea sana tu hawa Chadema-Kata..

Cha kuchekesha zaidi kuna tabia imejengeka humu JF eti ukijibu hoja za Chadema wanakushtaki kwa Mods kuwa unachafua hali ya hewa.

Halafu kuwa wazi mkuu JF ni jukwaa huru huyo kiongozi unaemsema ni Mbowe, kiwango chake cha elimu ni kidogo sana ni type ya kina Maji Marefu.
Ritz...ya Mbowe tuyaache! Hapa tumwongelee tu padre mstaafu.
Mbowe tutamfungulia thread yake! Yule hamna mtu anayeweza kumtetea cuz sijui kama hata anaifahamu milango ya madarasa ikoje!
 
CV YA W.P Slaa
Source: Bunge Website

School: St. Thomas Aquinas University
Education: Advanced Diploma in Rural Development
Year:1980-1981
Level: Advance Diploma

School: TransWorld Tutorial College,
Education: London Certificate in Management
Year:1985
Level:CERTIFICATE

School: Kwermusl Primary School(Mbulu)
Education: Primary Education Year: 1958-1960

School: Daudi Primary School Level: Primary Education
Year: 1961

School: Karatu Primary School Level: Primary Education
Year: 1962-1965

School:Dung'unyi Seminary
Level: O-Level Education
Year:1966-1969

School:Itaga Seminary School Level: A-Level Education
Year: 1970-1971

School:Kibosho Seminary Level: Certificate in Philosophy
Year:1972-1973

School: St. Urban University
Education:phD (JCD) Law
Level: PhD
Year: 1977-1981

School: Kipalapala Seminary Education: Certificate in Theology
Level: Certificate
Year: 1974-1977

School:International Eye H. Centre
Level: Certificate in Eye Health
Year:1993

Christian Tenet CV...
 
Ritz...ya Mbowe tuyaache! Hapa tumwongelee tu padre mstaafu.
Mbowe tutamfungulia thread yake! Yule hamna mtu anayeweza kumtetea cuz sijui kama hata anaifahamu milango ya madarasa ikoje!

Mkuu Rejao,
Nimekupata tuendelee kujadili hii PhD ya Slaa.
 
EDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993

TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985

St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981

St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]

Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973

Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969

Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960

EMPLOYMENT HISTORY
Tanzania Society for Blind Managing Director 1992-1998
Tanzania Episcopal Conference Secretary General 1985-1991
Diocese of Mbulu Development Director 1982-1985
Diocese of Mbulu Vicar General 1982-1985
Diocese of Mbulu Development Director 1977-1979
Diocese of Mbulu - Roman Catholic Church Padre 1977-1991

POLITICAL EXPERIENCE

CHADEMA Principal Secretary 2002
CHADEMA Vice Chairman 1998 2002
CHADEMA Member of Parliament (Karatu Constituency) 1995 To date
CHADEMA Member of National Executive Committee 1995 -
Chama Cha Mapinduzi - CCM Secretary Foreign Branch (Rome) 1980 1982
Youth Union -TANU Secretary 1974 1977
TANU Chairman (Kipalapala Branch) 1974 1977
 
Wakuu hii CV ingekuwa ya Makamba, hawa jamaa wangeishambulia ile mbaya!
 
CV YA W.P Slaa
Source: Bunge Website

School: St. Thomas Aquinas University
Education: Advanced Diploma in Rural Development
Year:1980-1981
Level: Advance Diploma

School: TransWorld Tutorial College,
Education: London Certificate in Management
Year:1985
Level:CERTIFICATE

School: Kwermusl Primary School(Mbulu)
Education: Primary Education Year: 1958-1960

School: Daudi Primary School Level: Primary Education
Year: 1961

School: Karatu Primary School Level: Primary Education
Year: 1962-1965

School:Dung'unyi Seminary
Level: O-Level Education
Year:1966-1969

School:Itaga Seminary School Level: A-Level Education
Year: 1970-1971

School:Kibosho Seminary Level: Certificate in Philosophy
Year:1972-1973

School: St. Urban University
Education:PhD (JCD) Law
Level: PhD
Year: 1977-1981

School: Kipalapala Seminary Education: Certificate in Theology
Level: Certificate
Year: 1974-1977

School:International Eye H. Centre
Level: Certificate in Eye Health
Year:1993

ndio maana nikasema Elimu yake ni ya kuongoza kanisa "hafai kupewa nchi" & ..... akiwa nje ya kanisa kama sasa ni mwananchi tu wa kawaida hana tofauti na form 6 liver ...
 
EDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993

TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985

St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981

St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]

Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973

Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969

Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960

EMPLOYMENT HISTORY
Tanzania Society for Blind Managing Director 1992-1998
Tanzania Episcopal Conference Secretary General 1985-1991
Diocese of Mbulu Development Director 1982-1985
Diocese of Mbulu Vicar General 1982-1985
Diocese of Mbulu Development Director 1977-1979
Diocese of Mbulu - Roman Catholic Church Padre 1977-1991

POLITICAL EXPERIENCE

CHADEMA Principal Secretary 2002
CHADEMA Vice Chairman 1998 2002
CHADEMA Member of Parliament (Karatu Constituency) 1995 To date
CHADEMA Member of National Executive Committee 1995 -
Chama Cha Mapinduzi - CCM Secretary Foreign Branch (Rome) 1980 1982
Youth Union -TANU Secretary 1974 1977
TANU Chairman (Kipalapala Branch) 1974 1977

Kwa hii cv, m2 unawezaje kubisha kwamba jamaa ni bingwa wa mambo ya kanisani na si kwingineko.. Hana tofauti na maustadhi waliopiga juzuu nyingi.
 
ndio maana nikasema Elimu yake ni ya kuongoza kanisa "hafai kupewa nchi" & ..... akiwa nje ya kanisa kama sasa ni mwananchi tu wa kawaida hana tofauti na form 6 liver ...

Labda anajiita Daktari kutokana na kusoma "Certificate in Eye Health"
 
Wanabodi.

Ili kupata PhD (Doctor of Philosophy) lazima huwe na BA (Bachelor of Arts) na MA (Master of Arts).

Nimepitia CV ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, nimeona kapata PhD yake mwaka 1977 St. Urban University Rome Italy.

Kwenye CV yake hukuna sehemu yoyote kuwa ana BA ama MA.

Kuna njia nyingine ya kupata PhD bila kuwa na MA na BA?

Vipi mdaiwa sugu! hembu wasiliana na bodi ya mikopo ulipe deni lako, usitutie aibu riz!! Ndo uhoji cv za wenzako, au Masha hakulipi mshahara? Okey fine, nadhani jibu la swali lako umedadavuliwa kitaalamu.Napita tu kuelekea Mwanza.Kazi njema.
 
Doctor of Canon Law

From Wikipedia, the free encyclopedia

Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor; J.C.D.) is the doctoral-level terminal degree in the studies of canon law of the Roman Catholic Church.
It may also be abbreviated I.C.D. or dr.iur.can. (Iuris Canonici Doctor), ICDr., D.C.L., D.Cnl., D.D.C., or D.Can.L. (Doctor of Canon Law). Doctor of both laws (i.e. canon and civil) are J.U.D. (Juris Utriusque Doctor), or U.J.D. (Utriusque Juris Doctor).
A doctorate in canon law normally requires at least two years of additional study and the development and defense of an original dissertationthat contributes to the development of canon law after having earned the degree Licentiate of Canon Law. Only pontifical universities and ecclesiastical faculties of canon law may grant the doctorate or licentiate in canon law.
The Licentiate of Canon Law is a three-year degree, the prerequisite for the study of which is normally the graduate level bachelor of sacred theology (S.T.B.), a master of divinity (M.Div.), a master of arts in Roman Catholic theology (M.A.), or a civil law degree (J.D. or LL.B.) and abachelor degree in canon law (J.C.B.) or its relative equivalent.

While not a civil law degree, the doctor of canon law is in some ways comparable to the
Doctor of Juridical Science (J.S.D.) or doctor of laws(LL.D.) in terms of academic level of study as they are terminal academic degrees.

Nafikiri hapa penye red panatoa mwanga kwa wale wanaofikiri elimu inayotolewa na kanisa ina manufaa kwa kanisa tu. Na hapa ndipo wakatoliki wanapowapiga bao watu wa madhehebu na dini nyingine. Watumishi wao (mapadri na maaskofu) wanapewa elimu inayowapa "competitive advantage" hata nje ya kanisa.

Leo hii muweke Kardinali pengo na Sheikh Simba kwenye negotiation table uone simba atakavyokimbizwa mchakamchaka na elimu yake ya madrasa. Si ajabu kwanini serikali ilisaini MOU na kanisa (what do you expect when pimps negotiate with smart people??).

Na kwa taarifa yenu, vijana wanaochukuliwa kujiunga na seminary
kuanzia form one, huwa ni wale vijana wenye akili kali kwelikweli; mimi nimesoma seminary, darasani kwetu tulipoanza form one, karibu kila moja alikuwa amepangiwa "special school" kama vile Ilboru, Mzumbe, Kibaha etc baada ya mtihani wake wa darasa la saba,(Ikimaanisha kuwa ni vijana wenye "vipaji maalum") akaacha huko akaja seminary. Na hao wameendelea, wengine ni mapadre sasa, na sie wengine tulioingia "duniani" tunaelekea kugonga PhD zetu kwenye top schools za "huku duniani".

Hivi mtu kama Mnyika (my O'level school mate) angeamua kuendelea na maisha yale akawa padri siku moja, halafu ndio kanisa linamtuma ku-negotiate MOU na watu kama akina Lukuvi, Nchimbi, Sophia Simba, au hata Mk.were mwenyewe.......Ungetegemea nini????

Ndugu zangu, hao wanaodharau elimu inayotolea na kanisa waacheni na ujinga wao maana hapo ndipo tunapowapiga
BAO.
 
Ritz upeo wako ni mdogo sana hutaki kujibu hoja zangu inaonyesha ni kiasi gani vijana wa CCM msivyokuwa na uelewa mmekaa kukalili tu,I advice you urudi shule tena ukasome!

Duh utapasua kioo cha TV punguza jazba mpatie ritz jibu la kitaaluma..otherwise kama huna basi padre abakie kuwa dokta kwako tuna kondoo zake wanaomfata hata nje ya church
 
Back
Top Bottom