SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,616
- 7,863
Wanayajua yote haya na woga ndio unawasumbua. Wanataka mtu mwenye PhD 'ishirini' za kupewa kumlinganisha na mwenye moja ya kuihangaikia darasani, vitabuni na field!WanaJF,
Sidhani kama kuna sababu ya kujibizana. Hoja imejibiwa kwa kina. Wahusika wangekuwa na nia njema wangeandikia vyuo husika na kuomba Prospectus ya vyuo hivyo. Nashauri msihangaike nao na kupoteza muda muhimu kwa ajili ya ajenda za Taifa letu.. Wanayoyasema yaliwaponza Karatu 1995 wakiamini Dr Slaa hajui jukwaa. Hawakujua jambo dogo tu kuwa "Oratory" ni somo katika mfumo wa elimu wa Kanisa Katoliki. Tuliwatandika na tutaendelea kuwatandika. Bado hatujawaambia kuhusu Epistemology, Cosmology, Logic, Philosophy na branches zake zote.. Kama ritz na wenzake inawaburudisha waachieni tu waandike wapendavyo.