Pharmacy VS Medicine (MD)

Vyote vinalipa lakini MD Ni zaidi kwasababu unaweza ukasoma MD then post graduate ukasoma pharmacy so ukawa Dr at the same time Mfamasia lakini Mfamasia hawezi kusoma post graduate ya MD. Vilevile Dr anaruhusiwa kufungua pharmacy lakini Mfamasia haruhusiwi kufungua hospital.
Hapana Aisee ,Hiyo haiwezekan
 
Vyote vinalipa lakini MD Ni zaidi kwasababu unaweza ukasoma MD then post graduate ukasoma pharmacy so ukawa Dr at the same time Mfamasia lakini Mfamasia hawezi kusoma post graduate ya MD. Vilevile Dr anaruhusiwa kufungua pharmacy lakini Mfamasia haruhusiwi kufungua hospital.
Doctor anaweza kuweka cheti chake ili kufungua Pharmacy?...Acha uongo mkuu
 
Vyote vinalipa lakini MD Ni zaidi kwasababu unaweza ukasoma MD then post graduate ukasoma pharmacy so ukawa Dr at the same time Mfamasia lakini Mfamasia hawezi kusoma post graduate ya MD. Vilevile Dr anaruhusiwa kufungua pharmacy lakini Mfamasia haruhusiwi kufungua hospital.
uwongo mkubwa usipotoshe vijana, huwez soma post grad ya famasi kama huna degree ya famasi, tanzania ya sasa ajira serikarin ni ngumu, soma kozi unayopenda na unaweza hudumia, famasi ni rahisi kujiajiri ukiwezeshwa kidogo. na hizi kozi mbili zinategemeana
 
Back
Top Bottom