Surveyor_1
Member
- Jan 2, 2022
- 48
- 29
Wakuu habari za jioni.
Miezi kama mitano iliyopita nilikuja kuomba ushauri wa kozi ya kusoma nikapata michango mingi ya wana JF niwashukuru sana kwa hilo.
Kiujumla nimedhamiria kusoma diploma ya pharmacy na nilikuwa nataka kusoma MUHIMBILI.
Leo nimeingia website ya NACTE kufanya maombi lakini kwenye kuchagua chuo Muhimbili hakikuepo ikabidi nistop hapo.
Nimedhamiria kuwapigia NACTE kesho kuwauliza ndio likanijia wazo la kupita nyuzi za JF za nyuma.
Kwa niliyoyasoma nadhania itakuwa round ya kwanza ishajaa.
Sasa nina mashaka kama round zilizobaki ntapata. (Bila kusahau alama zangu PCB ni AAA - japokuwa nilihitimu form 4 muda kidogo)
Ndio maana nahitaji msaada wenu wana JF juu ya vyuo vingine vizuri vya AFYA kwa DAR kama plan B.
NA PIA KAMA KUNA MWENYE MAELEKEZO YA ZIADA PIA KIUJUMLA NITASHUKURU SANA.