Pharmaceutical science na Medical Laboratory sc...

Mimi mwenyewe ni mwajiriwa serikalini ni diploma ya Medical Lab basic salary ni 610,000/= Tsh ndio mshahara nilioanza nao take home 497,100/=

sasa sikuelewi hizo data za mishahara ya mahouse girls umeipata wapi

Mwambie huyo........Thats exactly right.........hahahahaaa
 
Kama internalship mtu analipwa 710,000/= na ni asilimia 80% ya mshahara kamili unadhani 100% itakua laki nne!??

Alaf saivi mfumo umebadilishwa i mean MD, BMLS, BPHRM, zote zitasomwa kwa muda wa miaka 5 na salary scale yao itakua sawa... Na hamna medical personel kuanzia level ya diploma anaechukua chini ya laki tano..labda awe ana makato ya mikopo ya benki mkuu..

Itaanza lini hiyo ya kozi zote kusomewa miaka mitano......daah
 
Back
Top Bottom