mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Nipo kariakoo big bon baada ya kuangaika kwenye folleni muda mrefu, baada ya kufika nimeambiwa nayo yameisha. Aliyekuwa mkombozi BIG Bon naye aungana na wafanyabiashara, naambiwa yapo lakini mkuu katukataza kweli serikali imefika kubaya.Magari mengi yamezima njiani, tunaomba trafiki wasaidie angalau tuyaweke pembeni.