bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,435
Serikali ya jirani zetu wa Kenya imepunguza ushuru wa mafuta kiasi, sasa bei ya mafuta imeshuka na kufika 1320 kwa lita. Sasa ile propaganda ya mkuu wa kaya na serikali yake ya kichovu kua serikali haina cha kufanya kwenye kupanda kwa bei ya mafuta as long as inapanda kwenye world market.
Na hilo limewezakana kwa maandamano kidogo tu sijui sisi hapa tunasubiri nini kama bei iko kwenye 2020 kwa lita? Tena yaliyochakachuliwa hasa. Ni mipango mibovu au ufinyu utendaji wa serikali ktk kufikiria kutafuta vyanzo vingine vya mapato na kunga'ng'ania mafuta peke yake?