hyo bei ni in kenya shngs au Tz shngs?
soma kichwa cha habarii cha thread
hyo bei ni in kenya shngs au Tz shngs?
serikali ya jirani zetu wa kenya imepunguza ushuru wa mafuta kiasi sasa bei ya mafuta imeshuka na kufika 1320 kwa lita? sasa ile propaganda ya mkuu wa kaya na serikali yeka eya kichovu kua serikali haina cha kufanya kwenye kupanda kwa bei ya mafuta as long as inapanda kwenye world market.
na hilo limewezakana kwa maandamano kidogo tu cjui sisi hapa tunasubiri nini kama bei iko kwenye 2020 kwa lita? tena yaliyochakachuliwa hasa!
ni mipango mibovu au ufinyu utendaji wa serikali ktk kufikiria kutafuta vyanzo vingine vya mapato na kunga'ng'ania mafuta peke yake?
Kipi si kweli? Kwamba serikali ya Kenya haikushusha ushuru wa mafuta? au?!Hizo si habari za kweli,bei ya mafuta nairobi leo saa sita mchana ilikuwa ni kshs 111 ambayo ni sawa na tshs 1945.Nimejaza mafuta binafsi kwa bei hiyo,japo ni afadhali kidogo compared to Tz lakini sio tshs 1320!